Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 768
- 1,686
Tukiachana na mapenzi (ngono), mwanaume anaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke.
Mwanaume anaweza kuishi kwa kujitegemea kuanzia level 0 (hana ajira, hana mtaji, hategemei mtu) na akasurvive. (atapata hela ya kulipa kodi, kula, kuvaa na kuhonga sometimes)
Je, kama ilivyo kwa mwanaume, mwanamke bila kupiga mizinga na kutegemea mwanaume, anaweza kuishi mtaani na akatoboa?
Kuna kitu nataka kujifunza kupitia maoni yenu, karibuni.