Mwanamke anawezaje kukabiliana na changamoto za maisha mtaani bila kumtegemea mwanaume?

Mwanamke kumtegemea Mwanaume ni Nature.
Ndio maana mwanamke anaweza kuwa na kazi but still atahudumiwa na mwanaume.
Hata kwa kumpiga vizinga.

Kujibu swali lako,
Hicho kitu kitawezekana kama huyo mwanamke anafanya kazi, au anatunzwa na wazazi au ni prostitute.
umeeleweka mkuu
 
kweli.

Kwenye wanawake 100 wapambanaji ni -10%
mshamba_hachekwi

Wanawake wanaoweza kufyatua tofali, kubeba zege, nk

Clepatina
Ni kweli mkuu wanawake wanaoweza kubeba zege na tofali ni wachache ila binafsi sioni kama ni ufahari mwanamke kufanya hizo kazi.

Hata hivyo mimi naamini mwanamke ndiye mwenye uwezo wa kutusua kwenye hayo mazingira uliyotaja kuliko mwanaume tena bila uuzaji wa mwili kuhusika.

Nichukue mimi na mshamba_hachekwi 😬utunyang'anye kila kitu tubakie na nguo tulizovaa tu then ukatutupe mkoa ambao wote hatufahamu mtu yeyote then baada ya mwaka mmoja uje ututembelee kama hutakuta nimemuajiri ananiita madam boss😬
 
Ni kweli mkuu wanawake wanaoweza kubeba zege na tofali ni wachache ila binafsi sioni kama ni ufahari mwanamke kufanya hizo kazi.

Hata hivyo mimi naamini mwanamke ndiye mwenye uwezo wa kutusua kwenye hayo mazingira uliyotaja kuliko mwanaume tena bila uuzaji wa mwili kuhusika.

Nichukue mimi na mshamba_hachekwi utunyang'anye kila kitu tubakie na nguo tulizovaa tu then ukatutupe mkoa ambao wote hatufahamu mtu yeyote then baada ya mwaka mmoja uje ututembelee kama hutakuta nimemuajiri ananiita madam boss
Utafanyeje?

Probably utapata Favors.
 
Mwanaume ameubwa kipekee sana. Maana Mungu alisema tutakula Kwa jasho. Hivyo natural mwanaume ni mpambanaji kwenye kutafuta Hela pia pesa ya mwanaume Ina positive impact Kwa jamii. Mwanaume akiwa na pesa,,, automatic wanawake walio karibu yake wataneemeka, ndugu jamaa na marafiki wataneemeka. Wanaume sio wabifsi kwenye pesa Tena mwanaume yupo proudly pesa yake ikitumia Kwa kusaidia jamii au familia. Wanawake wapo selfish kwenye pesa sababu hawana confidence ya kpata Tena anahisi ikiisha naye ameisha. Men wao wanaamini hata Kama pesa akiishia atatafuta Tena Hivyo ukiondoa ngono wanawake wengi hawana huwezo wa kuhustle kutafuta pesa. Hawajaumbwa hivyo ila Dunia inalazimisha mwanamke awe mtafutaji wa pesa ndo Shida tunaona Kwa Sasa .
 
umemaliza
 
Back
Top Bottom