thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
Kuna Mwanamke mmoja anasoma Uhasibu Hapa arusha siku ya kwanza alitaka jagi la kuchemshia maji nikampa kwasababu yalikuwepo mawili, siku ya pili akataka simu yangu ninayotumia nikakataa siku ya tatu akataka tisheti ya form six ya Tommy nikampa. Siku ya nne akataka hela ya saloon nikachomoa, sku ya tano anata hela ya shopping nikampa, siku ya Sita akaniambia nikiomba kitu simpi kwahiyo ataanza kuchukua bila kuomba. Nimeshituka amechukua tisheti za form six sita. Nimejidai nimeenda Dar ili kumkwepa. Wanajamii nimtoe vipi nduki! Huyu manzi