Mwanamke anatamaa mpaka nimemkimbia

Mwanamke anatamaa mpaka nimemkimbia

Kuna Mwanamke mmoja anasoma Uhasibu Hapa arusha siku ya kwanza alitaka jagi la kuchemshia maji nikampa kwasababu yalikuwepo mawili, siku ya pili akataka simu yangu ninayotumia nikakataa siku ya tatu akataka tisheti ya form six ya Tommy nikampa. Siku ya nne akataka hela ya saloon nikachomoa, sku ya tano anata hela ya shopping nikampa, siku ya Sita akaniambia nikiomba kitu simpi kwahiyo ataanza kuchukua bila kuomba. Nimeshituka amechukua tisheti za form six sita. Nimejidai nimeenda Dar ili kumkwepa. Wanajamii nimtoe vipi nduki! Huyu manzi

sasa wewe uko chuo t-shirt za form six za nini?? mpe zote tu...........
 
sasa walvyosema mkiunganishwa mnakua mwili mmoja ulkua hujaelewa??
 
Kuna Mwanamke mmoja anasoma Uhasibu Hapa arusha siku ya kwanza alitaka jagi la kuchemshia maji nikampa kwasababu yalikuwepo mawili, siku ya pili akataka simu yangu ninayotumia nikakataa siku ya tatu akataka tisheti ya form six ya Tommy nikampa. Siku ya nne akataka hela ya saloon nikachomoa, sku ya tano anata hela ya shopping nikampa, siku ya Sita akaniambia nikiomba kitu simpi kwahiyo ataanza kuchukua bila kuomba. Nimeshituka amechukua tisheti za form six sita. Nimejidai nimeenda Dar ili kumkwepa. Wanajamii nimtoe vipi nduki! Huyu manzi
kwahyo wale wanne uliowaoa mpaka mmoja akakulsha kitimoto wameachika??? huyu mpya nadhan au umeongeza watano
 
Back
Top Bottom