Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

Mi Kuna mmoja nimemsaidia jambo dogo tu alafu ni mke wa mtu anasema anataka anipe zawadi ya kudumu.....Sasa sijataka kumuuliza zawadi ya kudumu ni ipi

Japo malaika kitengo Cha kuzimu washanidokeza
 
Kwamba wanawake wote wana mawazo sawa na kila mdomo wa mmoja wao ni kipaza sauti cha wengine wote ?

Tukirudi kwenye swali ni kwamba objectives zenu (zako na zake) kwa macho yake ni kama haziendi sambamba au anataka kuhakikisha zinaenda sambamba...
 
Kuna wanaume nao wanamind kuchezewa 😂😂😂
Tunataka haki sawa, sio sahihi kuchezea uvulana wangu. Mnapochezea uvulana wa mtu huwa anaumia mno na kububujikwa na machozi. Maumivu ni makali, hasa maumivu ya kisaikolojia na inaathiri afya ya akili.
 
Back
Top Bottom