Mwanamke anapokufanyia hivi maana yake nini? Ushauri please

aisee ni mimi ndiye huwa namtumia msg za usiku mwema mke wangu
 
Naona mbinu zimekuishia, nipatie namba ya huyo demu nianzie upoishia kwa kuanza nitampangia nyumba.

ushakuwa mzee wa fursa eeh kama Ruge na kusaga na kapuya! Kwenye tatizo anarekebisha halafu anapewa kiulainiiiiiiiii. Kaka SIPIYU30 mpe go ahead kijana mwenzio afukie magepu yaliyokushinda
 
Hizi hadithi nyingine bwana. Wewe na miaka yako yote 30 unasumbuliwa kichwa na ishu ndogo kama hii?
 
ivi ili uamini kua anakupenda lazima m do?

hapo nahisi unataka kumfanya project nyingine tu

c um-block aone kweli umeamua, mwanaume chukua hatua siyo kujiliza liza kaa toto la bata, pia mwambie kuna binti mwingne unamfatalia na soon mtakuwa pamoja, akiendelea kukusumbua tafuta binti yoyote aongee nae pale atakapopiga then bdae mpigie aft mwambie mm nilikuwa crius kutafuta mwanamke ww haukuwa crius, kama upo crius tukutane leo pale makuu lodge na ukija tu nitampiga chini huyu coz nimeenda kwake baada ya kuona unanizingua....utashangaa anajaa kwenye anga zako mwenyewe, unipe fidback ebo
 
Hizi hadithi nyingine bwana. Wewe na miaka yako yote 30 unasumbuliwa kichwa na ishu ndogo kama hii?

mkuu trust me kuna watu kumake decision ya vitu vidogo huwa hawawez had unabak kushangaa, ila ninachoamin kwa tathmini yangu people zilizokulia maisha ya changamoto ndo huwa zinatatua mambo kuliko wale walokulia free of changamoto life, trust it
 
mkuu trust me kuna watu kumake decision ya vitu vidogo huwa hawawez had unabak kushangaa, ila ninachoamin kwa tathmini yangu people zilizokulia maisha ya changamoto ndo huwa zinatatua mambo kuliko wale walokulia free of changamoto life, trust it

ua so wise,,,, take strong like
 
Hapo swaga 2,kama ndio walewale imekula kwako.Hebu weka namba yake kwenye jf tukupikie halafu uje ule.
 
kaka wewe hapo msimamo wako ndo utakusaidia,ukisema humtaki usirudi nyuma ushikilie hapohapo naukisema ukomae nae ni wewe tu na roho yako,ila amua kimoja alafu ukisimamie vizuri.

yani hapo mazingira yanaonyesha huyo mshkaji wanachat nae muda tu ndo maana akakuambia kwamba muwe kaka na dada ila ww ukakomaa muwe na mahusiano,kwahiyo usije ukashangaa kama mko wawili na usije kulalamika badae kuwa demu kanicheat sijui nini!! yani ile confession yake ya kwanza ndo ukweli na hayo mengine anafanya sababu wewe umemlazimisha.

hataki kumpoteza yule jamaa yake na hataki kukupoteza na wewe at the same time,so akili kichwani kwako.
hata hivyo sex aint better than love,ww kama unampenda kweli fanya malengo umri unaenda mzee 30yrs bado unawazaga chini tu aisee .

tafuta wife material moja utapiga mpaka mwenyewe utaomba poo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom