Mwanamke anapokufanyia hivi maana yake nini? Ushauri please

Naona mbinu zimekuishia, nipatie namba ya huyo demu nianzie upoishia kwa kuanza nitampangia nyumba.
 
huyo mdada ni wale wale tu.....kwa nini anaanza na kudemand umpangishie chumba?

halafu kija wangu, miaka 30 bado hujapata mwenza bado upo upo tu?
 
Habari zenu wana jukwaa,
Nina tatizo moja linanisibu. Nimetokea kufahamiana na dada mmoja hapa jijini Dar. Nilimfahamu nilipokwenda kupata mahitaji yangu kwenye stationary ambayo pia ina huduma ya internet. Kadiri siku zilivyoenda tukafahamiana majina. Huyu dada huwa ana tabia ya kupiga nyimbo za dini kwenye computer yake muda mwingi na mimi nazipenda sana. Sipendi kabisa bongo fleva na hip hop wala nyinginezo. Sasa nikiwa nimenunua simu yangu mpya ya screen touch, nikawa namwambia niwekee hizo nyimbo kwenye simu yangu na akawa anafanya vile. Hatimaye tukabadilishana namba.

Akanizoea kuniita Kaka SIPIYU30. Kwa sababu mimi sikai mbali na hapo, kila nikienda kwenye internet jioni akawa ananiomba sana nimsubiri afunge duka nimsindikize. Wakati mwingine ananishawishi niongeze muda, ili mradi tuu nimsubiri. Nikagundua kuwa anapenda sana kuwa karibu na mimi, nikawa namsindikiza. Ikafika hatua hata kama sijaenda hapo cku hiyo, basi ikifika muda wa kufunga atanipigia simu nimsindikize. Umri wake ni kama 21 or 20 years. Binti ni naturally beautiful yaani hahitaji mkorogo, kwa mwanaume rijali ukimtazama juu mpaka chini lazima mashetani yapande.

Kadiri siku zilivyokwenda nikajikuta nimerusha karata yangu kwake, na hivi ninavyoandika hapa, kwa kweli moyo wangu umemzimikia, lakini akaniambia hapana. Akanisihi sana kuwa urafiki wetu ubaki kuwa wa kaka na dada. Mimi namzidi umri kwani mimi nina 30. Ikafika mahali akanikubalia kwa shingo pande lakini akanipa masharti ya ajabu ajabu. Moja, anasema hawezi kunipa mechi akiwa anakaa kwa ndugu yake, labda nimpangishie nyumba ili ahame kwa ndugu yake niwe nafikia kwake. Hilo nalo nikatafakari, ni njia ya kukwepa tuu, siyo sababu.

Pili, kuna wakati akakubali na tukapanga ratiba kabisa, dakika za mwisho akachomoa. Nikimwuliza anasema anaogopa kwa sababu hajawahi kukutana na mwanamume. Ikabidi nibadili technique na kuanza na mambo mepesi mepesi katika mazungumzo, lakini bado hataki. Ikafika mahali nikamwambia kama hanipendi aniache, niendelee na maisha yangu, nikafuta namba zake kabisa, lakini bado ananitafuta. Nikimgombeza kwenye simu yeye anasmile tuu na haonyeshi hali ya kuniogopa. Ananitumia sms na kunisihi kuwa ananipenda sana, nikirudisha majeshi anagoma tena, anarudia kuniita kaka. kwa mtazamo wangu nahisi huyu demu anataka tuu hela zangu niingie kichwa kichwa alafu anitose.

Kuna siku nikavizia simu yake nikakuta namba fulani ikimtumia msg kibao, zingine zinasema "Nakutakia ucku mwema mke wangu". Lakini nikimwuliza anasema hana mchumba na hajawahi kukutana na mwanaume. Nimechukua ile namba nikaisevu kwa simu yangu, ila nimesita kufuatilia maisha yake wala huyo mtu anayechat naye. Sasa mimi najifanya mjinga sitaki kugombana naye ila nimeamua kumpuuza. Ila nakereka na sms zake na anavyonipigia. Nimemwambia achague moja, asuke ama anyoe, lakini wapi, hataki kunielewa. Naumia sana ila cjui nifanyeje. Naombeni mawazo yenu wadau, huyu mwanamke anataka nini kwangu?

But i promise cku atakayoingia anga zangu, kitaeleweka tuu.

UZURI WA MKAKASI NDANI KIPANDE CHA MTI.
Nendeni mkapime UKIMWI, KASWENDE, na HEPATITIS B kwanza siyo unakimbilia kutaka kufanya ngono tu!
Yaani wewe msuli ukishtuka tu unataka kukimbia!
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wana jukwaa,
nina tatizo moja linanisibu. Nimetokea kufahamiana na dada mmoja hapa jijini dar. Nilimfahamu nilipokwenda kupata mahitaji yangu kwenye stationary ambayo pia ina huduma ya internet. Kadiri siku zilivyoenda tukafahamiana majina. Huyu dada huwa ana tabia ya kupiga nyimbo za dini kwenye computer yake muda mwingi na mimi nazipenda sana. Sipendi kabisa bongo fleva na hip hop wala nyinginezo. Sasa nikiwa nimenunua simu yangu mpya ya screen touch, nikawa namwambia niwekee hizo nyimbo kwenye simu yangu na akawa anafanya vile. Hatimaye tukabadilishana namba.

Akanizoea kuniita kaka sipiyu30. Kwa sababu mimi sikai mbali na hapo, kila nikienda kwenye internet jioni akawa ananiomba sana nimsubiri afunge duka nimsindikize. Wakati mwingine ananishawishi niongeze muda, ili mradi tuu nimsubiri. Nikagundua kuwa anapenda sana kuwa karibu na mimi, nikawa namsindikiza. Ikafika hatua hata kama sijaenda hapo cku hiyo, basi ikifika muda wa kufunga atanipigia simu nimsindikize. Umri wake ni kama 21 or 20 years. Binti ni naturally beautiful yaani hahitaji mkorogo, kwa mwanaume rijali ukimtazama juu mpaka chini lazima mashetani yapande.

Kadiri siku zilivyokwenda nikajikuta nimerusha karata yangu kwake, na hivi ninavyoandika hapa, kwa kweli moyo wangu umemzimikia, lakini akaniambia hapana. Akanisihi sana kuwa urafiki wetu ubaki kuwa wa kaka na dada. Mimi namzidi umri kwani mimi nina 30. Ikafika mahali akanikubalia kwa shingo pande lakini akanipa masharti ya ajabu ajabu. Moja, anasema hawezi kunipa mechi akiwa anakaa kwa ndugu yake, labda nimpangishie nyumba ili ahame kwa ndugu yake niwe nafikia kwake. Hilo nalo nikatafakari, ni njia ya kukwepa tuu, siyo sababu.

Pili, kuna wakati akakubali na tukapanga ratiba kabisa, dakika za mwisho akachomoa. Nikimwuliza anasema anaogopa kwa sababu hajawahi kukutana na mwanamume. Ikabidi nibadili technique na kuanza na mambo mepesi mepesi katika mazungumzo, lakini bado hataki. Ikafika mahali nikamwambia kama hanipendi aniache, niendelee na maisha yangu, nikafuta namba zake kabisa, lakini bado ananitafuta. Nikimgombeza kwenye simu yeye anasmile tuu na haonyeshi hali ya kuniogopa. Ananitumia sms na kunisihi kuwa ananipenda sana, nikirudisha majeshi anagoma tena, anarudia kuniita kaka. Kwa mtazamo wangu nahisi huyu demu anataka tuu hela zangu niingie kichwa kichwa alafu anitose.

Kuna siku nikavizia simu yake nikakuta namba fulani ikimtumia msg kibao, zingine zinasema "nakutakia ucku mwema mke wangu". Lakini nikimwuliza anasema hana mchumba na hajawahi kukutana na mwanaume. Nimechukua ile namba nikaisevu kwa simu yangu, ila nimesita kufuatilia maisha yake wala huyo mtu anayechat naye. Sasa mimi najifanya mjinga sitaki kugombana naye ila nimeamua kumpuuza. Ila nakereka na sms zake na anavyonipigia. Nimemwambia achague moja, asuke ama anyoe, lakini wapi, hataki kunielewa. Naumia sana ila cjui nifanyeje. Naombeni mawazo yenu wadau, huyu mwanamke anataka nini kwangu?

But i promise cku atakayoingia anga zangu, kitaeleweka tuu.
vipi mnafungua lini shule!
 
ivi ili uamini kua anakupenda lazima m do?

hapo nahisi unataka kumfanya project nyingine tu
 
Habari zenu wana jukwaa,
Nina tatizo moja linanisibu. Nimetokea kufahamiana na dada mmoja hapa jijini Dar. Nilimfahamu nilipokwenda kupata mahitaji yangu kwenye stationary ambayo pia ina huduma ya internet. Kadiri siku zilivyoenda tukafahamiana majina. Huyu dada huwa ana tabia ya kupiga nyimbo za dini kwenye computer yake muda mwingi na mimi nazipenda sana. Sipendi kabisa bongo fleva na hip hop wala nyinginezo. Sasa nikiwa nimenunua simu yangu mpya ya screen touch, nikawa namwambia niwekee hizo nyimbo kwenye simu yangu na akawa anafanya vile. Hatimaye tukabadilishana namba.

Akanizoea kuniita Kaka SIPIYU30. Kwa sababu mimi sikai mbali na hapo, kila nikienda kwenye internet jioni akawa ananiomba sana nimsubiri afunge duka nimsindikize. Wakati mwingine ananishawishi niongeze muda, ili mradi tuu nimsubiri. Nikagundua kuwa anapenda sana kuwa karibu na mimi, nikawa namsindikiza. Ikafika hatua hata kama sijaenda hapo cku hiyo, basi ikifika muda wa kufunga atanipigia simu nimsindikize. Umri wake ni kama 21 or 20 years. Binti ni naturally beautiful yaani hahitaji mkorogo, kwa mwanaume rijali ukimtazama juu mpaka chini lazima mashetani yapande.

Kadiri siku zilivyokwenda nikajikuta nimerusha karata yangu kwake, na hivi ninavyoandika hapa, kwa kweli moyo wangu umemzimikia, lakini akaniambia hapana. Akanisihi sana kuwa urafiki wetu ubaki kuwa wa kaka na dada. Mimi namzidi umri kwani mimi nina 30. Ikafika mahali akanikubalia kwa shingo pande lakini akanipa masharti ya ajabu ajabu. Moja, anasema hawezi kunipa mechi akiwa anakaa kwa ndugu yake, labda nimpangishie nyumba ili ahame kwa ndugu yake niwe nafikia kwake. Hilo nalo nikatafakari, ni njia ya kukwepa tuu, siyo sababu.

Pili, kuna wakati akakubali na tukapanga ratiba kabisa, dakika za mwisho akachomoa. Nikimwuliza anasema anaogopa kwa sababu hajawahi kukutana na mwanamume. Ikabidi nibadili technique na kuanza na mambo mepesi mepesi katika mazungumzo, lakini bado hataki. Ikafika mahali nikamwambia kama hanipendi aniache, niendelee na maisha yangu, nikafuta namba zake kabisa, lakini bado ananitafuta. Nikimgombeza kwenye simu yeye anasmile tuu na haonyeshi hali ya kuniogopa. Ananitumia sms na kunisihi kuwa ananipenda sana, nikirudisha majeshi anagoma tena, anarudia kuniita kaka. kwa mtazamo wangu nahisi huyu demu anataka tuu hela zangu niingie kichwa kichwa alafu anitose.

Kuna siku nikavizia simu yake nikakuta namba fulani ikimtumia msg kibao, zingine zinasema "Nakutakia ucku mwema mke wangu". Lakini nikimwuliza anasema hana mchumba na hajawahi kukutana na mwanaume. Nimechukua ile namba nikaisevu kwa simu yangu, ila nimesita kufuatilia maisha yake wala huyo mtu anayechat naye. Sasa mimi najifanya mjinga sitaki kugombana naye ila nimeamua kumpuuza. Ila nakereka na sms zake na anavyonipigia. Nimemwambia achague moja, asuke ama anyoe, lakini wapi, hataki kunielewa. Naumia sana ila cjui nifanyeje. Naombeni mawazo yenu wadau, huyu mwanamke anataka nini kwangu?

But i promise cku atakayoingia anga zangu, kitaeleweka tuu.

Kwani we ni mgeni hapa mjini?
 
Last edited by a moderator:
miaka 30 ni mtu mzima..umekutana na wanawake aina tofauti..
Kuna mahali padogo umemkosea huyo mdada..alishakubali labda amekuona haupo sirias...
 
Tafuta simu yenye kuweza kublock namba yake akipiga na ku-automatically delete msg zake akituma! Mimi nilishawahi kufanya hivyo! It works!

Naomba nijue hii simu ya aina gani?? Kuna msumbufu mmoja naona hii simu ni muoarobaini wake.nijuzee
 
Habari zenu wana jukwaa,
Nina tatizo moja linanisibu. Nimetokea kufahamiana na dada mmoja hapa jijini Dar. Nilimfahamu nilipokwenda kupata mahitaji yangu kwenye stationary ambayo pia ina huduma ya internet. Kadiri siku zilivyoenda tukafahamiana majina. Huyu dada huwa ana tabia ya kupiga nyimbo za dini kwenye computer yake muda mwingi na mimi nazipenda sana. Sipendi kabisa bongo fleva na hip hop wala nyinginezo. Sasa nikiwa nimenunua simu yangu mpya ya screen touch, nikawa namwambia niwekee hizo nyimbo kwenye simu yangu na akawa anafanya vile. Hatimaye tukabadilishana namba.

Akanizoea kuniita Kaka SIPIYU30. Kwa sababu mimi sikai mbali na hapo, kila nikienda kwenye internet jioni akawa ananiomba sana nimsubiri afunge duka nimsindikize. Wakati mwingine ananishawishi niongeze muda, ili mradi tuu nimsubiri. Nikagundua kuwa anapenda sana kuwa karibu na mimi, nikawa namsindikiza. Ikafika hatua hata kama sijaenda hapo cku hiyo, basi ikifika muda wa kufunga atanipigia simu nimsindikize. Umri wake ni kama 21 or 20 years. Binti ni naturally beautiful yaani hahitaji mkorogo, kwa mwanaume rijali ukimtazama juu mpaka chini lazima mashetani yapande.

Kadiri siku zilivyokwenda nikajikuta nimerusha karata yangu kwake, na hivi ninavyoandika hapa, kwa kweli moyo wangu umemzimikia, lakini akaniambia hapana. Akanisihi sana kuwa urafiki wetu ubaki kuwa wa kaka na dada. Mimi namzidi umri kwani mimi nina 30. Ikafika mahali akanikubalia kwa shingo pande lakini akanipa masharti ya ajabu ajabu. Moja, anasema hawezi kunipa mechi akiwa anakaa kwa ndugu yake, labda nimpangishie nyumba ili ahame kwa ndugu yake niwe nafikia kwake. Hilo nalo nikatafakari, ni njia ya kukwepa tuu, siyo sababu.

Pili, kuna wakati akakubali na tukapanga ratiba kabisa, dakika za mwisho akachomoa. Nikimwuliza anasema anaogopa kwa sababu hajawahi kukutana na mwanamume. Ikabidi nibadili technique na kuanza na mambo mepesi mepesi katika mazungumzo, lakini bado hataki. Ikafika mahali nikamwambia kama hanipendi aniache, niendelee na maisha yangu, nikafuta namba zake kabisa, lakini bado ananitafuta. Nikimgombeza kwenye simu yeye anasmile tuu na haonyeshi hali ya kuniogopa. Ananitumia sms na kunisihi kuwa ananipenda sana, nikirudisha majeshi anagoma tena, anarudia kuniita kaka. kwa mtazamo wangu nahisi huyu demu anataka tuu hela zangu niingie kichwa kichwa alafu anitose.

Kuna siku nikavizia simu yake nikakuta namba fulani ikimtumia msg kibao, zingine zinasema "Nakutakia ucku mwema mke wangu". Lakini nikimwuliza anasema hana mchumba na hajawahi kukutana na mwanaume. Nimechukua ile namba nikaisevu kwa simu yangu, ila nimesita kufuatilia maisha yake wala huyo mtu anayechat naye. Sasa mimi najifanya mjinga sitaki kugombana naye ila nimeamua kumpuuza. Ila nakereka na sms zake na anavyonipigia. Nimemwambia achague moja, asuke ama anyoe, lakini wapi, hataki kunielewa. Naumia sana ila cjui nifanyeje. Naombeni mawazo yenu wadau, huyu mwanamke anataka nini kwangu?

But i promise cku atakayoingia anga zangu, kitaeleweka tuu.

Mh....kwanza ninamashaka nawe,miaka 30 bado huna mwenza au ndo harakati za kutaka kumkapuya huyo mtoto wa miaka 20.
 
Last edited by a moderator:
tatizo wee mwenyewe kigeugeu ndio maana. ulipoamua kumpotezea ungekula nduki for gud hamna urafiki wala nini. kuwa na msimamo
 
Anakutega huyo! Atakupa tuu! Tehtehteh

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Naomba nijue hii simu ya aina gani?? Kuna msumbufu mmoja naona hii simu ni muoarobaini wake.nijuzee

Samsung ya tochi, ina reject simu inayopigwa (simu inaita kwa sekunde 1 kasha inakata - mpigaji anaambiwa namba haipatikani, wewe utajua Fulani amekupigia) na haipokei msg ya mtu uliyemblock

Techno TV30 inayo facility ya kuzuia namba kabisaa isiite kwako na mpigani anaambiwa simu haipatikani
 
Habari zenu wana jukwaa,
Nina tatizo moja linanisibu. Nimetokea kufahamiana na dada mmoja hapa jijini Dar. Nilimfahamu nilipokwenda kupata mahitaji yangu kwenye stationary ambayo pia ina huduma ya internet. Kadiri siku zilivyoenda tukafahamiana majina. Huyu dada huwa ana tabia ya kupiga nyimbo za dini kwenye computer yake muda mwingi na mimi nazipenda sana. Sipendi kabisa bongo fleva na hip hop wala nyinginezo. Sasa nikiwa nimenunua simu yangu mpya ya screen touch, nikawa namwambia niwekee hizo nyimbo kwenye simu yangu na akawa anafanya vile. Hatimaye tukabadilishana namba.

Akanizoea kuniita Kaka SIPIYU30. Kwa sababu mimi sikai mbali na hapo, kila nikienda kwenye internet jioni akawa ananiomba sana nimsubiri afunge duka nimsindikize. Wakati mwingine ananishawishi niongeze muda, ili mradi tuu nimsubiri. Nikagundua kuwa anapenda sana kuwa karibu na mimi, nikawa namsindikiza. Ikafika hatua hata kama sijaenda hapo cku hiyo, basi ikifika muda wa kufunga atanipigia simu nimsindikize. Umri wake ni kama 21 or 20 years. Binti ni naturally beautiful yaani hahitaji mkorogo, kwa mwanaume rijali ukimtazama juu mpaka chini lazima mashetani yapande.

Kadiri siku zilivyokwenda nikajikuta nimerusha karata yangu kwake, na hivi ninavyoandika hapa, kwa kweli moyo wangu umemzimikia, lakini akaniambia hapana. Akanisihi sana kuwa urafiki wetu ubaki kuwa wa kaka na dada. Mimi namzidi umri kwani mimi nina 30. Ikafika mahali akanikubalia kwa shingo pande lakini akanipa masharti ya ajabu ajabu. Moja, anasema hawezi kunipa mechi akiwa anakaa kwa ndugu yake, labda nimpangishie nyumba ili ahame kwa ndugu yake niwe nafikia kwake. Hilo nalo nikatafakari, ni njia ya kukwepa tuu, siyo sababu.

Pili, kuna wakati akakubali na tukapanga ratiba kabisa, dakika za mwisho akachomoa. Nikimwuliza anasema anaogopa kwa sababu hajawahi kukutana na mwanamume. Ikabidi nibadili technique na kuanza na mambo mepesi mepesi katika mazungumzo, lakini bado hataki. Ikafika mahali nikamwambia kama hanipendi aniache, niendelee na maisha yangu, nikafuta namba zake kabisa, lakini bado ananitafuta. Nikimgombeza kwenye simu yeye anasmile tuu na haonyeshi hali ya kuniogopa. Ananitumia sms na kunisihi kuwa ananipenda sana, nikirudisha majeshi anagoma tena, anarudia kuniita kaka. kwa mtazamo wangu nahisi huyu demu anataka tuu hela zangu niingie kichwa kichwa alafu anitose.

Kuna siku nikavizia simu yake nikakuta namba fulani ikimtumia msg kibao, zingine zinasema "Nakutakia ucku mwema mke wangu". Lakini nikimwuliza anasema hana mchumba na hajawahi kukutana na mwanaume. Nimechukua ile namba nikaisevu kwa simu yangu, ila nimesita kufuatilia maisha yake wala huyo mtu anayechat naye. Sasa mimi najifanya mjinga sitaki kugombana naye ila nimeamua kumpuuza. Ila nakereka na sms zake na anavyonipigia. Nimemwambia achague moja, asuke ama anyoe, lakini wapi, hataki kunielewa. Naumia sana ila cjui nifanyeje. Naombeni mawazo yenu wadau, huyu mwanamke anataka nini kwangu?

But i promise cku atakayoingia anga zangu, kitaeleweka tuu.

Mko watahiniwa wawili au kadhaa, anachekecha ni yupi ni serious kati yenu! Ndio maana alikujaribu kwa kukwambia umpangie chumba, ulipoyeyusha akakustukia!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom