Afu ka kasichana kenzako kanaitwa Zinduna kanabiśha eti Eva si wa kubebeşhwa lawana. Kama si tamaa aka nyege za Eva, Adam aśingekulamo naniliu. Kalimsedyuz braza wetu hako kaEva.
Hujanielewa! sijasema Eva abebeshwe lawama, najaribu kukuonyesha ni jinsi gani wanaume mmezoea kuwalaumu wengine kwa kushindwa kwenu kufikiri, na kufanya maamuzi sahihi, na kwa udhaifu wenu wenyewe. mwisho wa siku lazima mtafute wa kumbebesha mizigo ya lawama.
my point is "try to take responsibilities for your own actions", msitulaumu wanawake. hata wakati wa Adamu na Eva, mwanaume hakulazimishwa kula tunda, alikula huku akiwa na ufahamu wake na akijua madhara yote yanayoweza kumpata, lakini bado alikula.
je bado unataka kutulaumu kwa nyie kuwa weak mnapokuwa na sisi?
C.C Zinduna
DUh afadhali umenisaidia manake nilikua naona kama mjadala umekua kama umeelekea kwingine. :focus:Unajua watu wengi hujichanganya hapa na kutaka kuaminisha akili zao kinyume...
Mungu aliyetoa agizo la mtu mume na mtu mke wazae, waongezeke na wakaijaze nchi iweje Mungu huyo huyo aone ni dhambi kwa Adamu na Hawa kufanya ngono...
Tunda linalotamkwa sio uke wa mwanamke, hakuna mahali maandiko ya Mungu yakapindisha tafsiri sahihi, uke utaitwa uke uume utaitwa uume na tunda litaitwa tunda.
....Sasa ndugu zangu tujiulizeni jambo moja muhimu,kama angekua hawajala hilo tunda la katikati,mimi na wewe leo tungekuwepo?mimi naona Mwenyezi Mungu alikua na makusudio yake na hekima yake ilyovuka mpaka ndio maana hata Nabii Adam alivyoomba toba kwa Mola wake kwa hilo kosa alilofanya Mwenyezi Mungu akamsamehe,kwa sababu hio uwezo wa Mola umetimia,so ki-mantiki mwanamke (Eve)hana kosa wala nabii Adam hana kosa.
nataka kujua ni jinsia gani inaconvincing power kiasi cha kumconvince Hawa kula tunda, na pia tujue isije tukawa tunalaumu wanawake ilhali huyo nyoka alikuwa kidume,
kwa hiyo unatamka kusema nyoka anayezungumzwa ni the african snake anayekaa kwenye pants na boxer???
Sina uhakika kama umeisoma vizuri Biblia, maelezo yako yana walakini kidogo.
Nitarejea...
Wanaume na sisi ni viazi....unapewa kitu cha wizi nawe unakula? Kisha unamlaumu mwizi....in any case adam alikua kiazi....tena kuazi kitamu...
Afu adam angekuwa na akili walau ya kuomba msamaha dirctly labda yangeishia hapo. Ila kajiteteeeeeaaa utadhani mtoto mdogo.
Na ndo kosa wanaume wengi wanafanya. Wakati mkeo kakubamba na kitu ama amehisi kitu ambacho moyoni unajua kabisa ni kweli, unakiwa mkali. Hapo unamuongezea udadisi. But in real sense ungejiwahi na apologies na kubadili strategy ungejilia za wizi hadi zikukwame kooni bila bughudha. Viazi cherema!

Wanawake wasingekuwepo duniani, shida na dhambi nyingi zingepungua. Ila ukweli ni kuwa tungemisi kitu kimoja kitamu sana. Wanawake wamesababisha watu wasimwogope Mungu. Ni rahisi sana kumsaliti Mungu kwa sababu ya utamu wa Mwanamke.
Mi penda sana utamu wa mwanamke. Hakika wanawake ndo watanipeleka motoni. Dhambi nyingine ni rahisi sana kwangu kuzikwepa, isipokuwa ile ya utamu wa mwanamke asiye mke wangu.
Kwa kweli dhambi hii hata majogoo na mabeberu hawaikwepi.
Mungu atusamehe tu, manake utamu wenyewe kausababisha yeye.
Amina.
ahahahahahaha unanidai nyama choma!!Afu adam angekuwa na akili walau ya kuomba msamaha dirctly labda yangeishia hapo. Ila kajiteteeeeeaaa utadhani mtoto mdogo.
Na ndo kosa wanaume wengi wanafanya. Wakati mkeo kakubamba na kitu ama amehisi kitu ambacho moyoni unajua kabisa ni kweli, unakiwa mkali. Hapo unamuongezea udadisi. But in real sense ungejiwahi na apologies na kubadili strategy ungejilia za wizi hadi zikukwame kooni bila bughudha. Viazi cherema!
Kimsingi wanyama wote wana lugha na kwa namna Mungu alivyomuumba mtu wa kwanza ambaye ni Adamu, alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na kila mnyama hivyo suala la nyoka kuongea na Adamu wala lisikushangaze.
Pili, shetani ni roho yaani hana mwili.
Ili kutimiza lengo lake la kupotosha uumbaji wa Mungu, alitumia mwili wa nyoka "vessel" ili apate kuongea na mtu (Hawa).
Hivyo kwa jinsi ya mwili ni nyoka aliyekuwa akiongea lakini kwa jinsi ya roho ni shetani aliyekuwa akionge.
nakupendaga mtani ukiamua kuzama kwenye makitu ya kiimani!!
big up oooooooh!!!
litatusaidia kujua ni jinsia ipi ina convincing power
"Mengine yote"
= "matunda yote bustanini yalo ruksa"
= "kuto kujua mema na mabaya" ????