Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

Kwani tunda linalosemwa ni K au ni fruits

Unajua watu wengi hujichanganya hapa na kutaka kuaminisha akili zao kinyume...

Mungu aliyetoa agizo la mtu mume na mtu mke wazae, waongezeke na wakaijaze nchi iweje Mungu huyo huyo aone ni dhambi kwa Adamu na Hawa kufanya ngono...

Tunda linalotamkwa sio uke wa mwanamke, hakuna mahali maandiko ya Mungu yakapindisha tafsiri sahihi, uke utaitwa uke uume utaitwa uume na tunda litaitwa tunda.
 
Kuuliza swali ni rahisi sana

Lakini kuna mabo mawili ni magumu sana wakati unakuwa unauliza swali

Mambo hayo ni haya;
Lengo la kuuliza swali,yaani kujua swali lako linataka ujue nini
Mahusiano ya swali na mada husika

Nimeshindwa kabisa kuona swali lako lengo lake nini
Pia nimeshindwa kabisa kuona mahusiano ya swali lako na mada husika na zaidi sana faida ya jibu la swali lako

Unaweza kunisaidia hayo?
 
Utata! katika biblia yatamkwa kwamba matunda ya bustanini ruksa kula kasoro la mti wa katikati.
Swali je matunda ya bustanini ni nini, ambayo ni ruksa kula. Na la mti wa katikati ni nini?

Kuna mambo mawili unayachanganya hapa

Kuna jambo au kitu kuwa tata
Na kuna mtu kuwa mtata

Kwenye suala la bibla sio kweli kuna utata
Bali wewe ndio mwenye huo utata

Biblia iko wazi kabisa na najua unajua bustani inakuwa na vitu gani
Kama unajua kwanini uone kuna utata?

Suala la matunda fulani kuwa sawa na lingine kutokuwa sawa mbona biblia imeweka wazi kabisa?

Biblia imesema kuwa tunda hilo ni la ujuzi wa mema na mabaya
Na Mungu aliona kuwa hatustahili kujua mema na mabaya

Utata ni upi hapo?
Au husomi mwenyewe unapigiwa story na watu tu?
 

na huyo nyoka alikuwa na jinsia gani?
 

Hapa umesema KWELI KABISA
watu wengi sana huelewa kinyume chake.
 
Hapa umesema KWELI KABISA
watu wengi sana huelewa kinyume chake.

Acha ubishi. Tunda ni K. ndo maana baada ya kugegedana wakaficha nyuchi zao maana zilikuwa zimeloa. hahahah na ukame alokuwa nao Adam naona alimwagiamo kama glasi mbili hivi.
 

Ndivyo biblia imetanabaisha kuwa tunda la mti wa katikati kwamba kuwa mjuvi wa mema na mabaya,
na ndilo lililokatazwa.
Je hayo ya bustanini yalo kuwa ruksa ni yepi?
 
Acha ubishi. Tunda ni K. ndo maana baada ya kugegedana wakaficha nyuchi zao maana zilikuwa zimeloa. hahahah na ukame alokuwa nao Adam naona alimwagiamo kama glasi mbili hivi.

Hapana mkuu. Quran inasema, adam aliambiwa usiukaribie mtii huu, ni MTI mkuu na alikua fruit ila hatujiu ni tunda gani. Kama tunda lilikua ni K mbona walipokuja duniani waliendelea kula "tunda" unalosema wewe? Ingekua ni hivyo basi asingerudia hiyo dhambi yakula "tunda"
 

duh! ndivyo unavyowachukulia wanawake wote?
 

Baada ya kupewa adhabu waliruhusiwa kuendelea kulibanjua mkuu. Ndo maana wanaume kwa jasho tunakula, na wanawake kwa uchungu wanazaa.
 

Huyo ana yake sijui yuko kiroba au ana ajenda anayoijua yeye make lika post yake naona kama imelewa lewa hivi.
 
ukiangalia kwa mtazamo mwingine, mpaka leo wanawake wana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wanaume.
mwanaume hata akiwa powerful kiasi gani akikutana na mwanamke ampendae anakuwa mdogo kama asprin, na akili za kufikiria yeye mwenyewe zinapotea kwa muda, huwa zinakuja baadae kama ilivyokuwa kwa Adam.

pia mpaka leo mkifanya makosa huwa mnasingizia wengine kama Adam... wanaume wengi wakifeli kimaisha wanasingizia wake zao

that's woman power, ndio maana mkiambiwa baby pesa ya saloon kilo moja tu, mnatoa tu potelea mbali hata kama we mwenyewe ukilala na njaa. halafu baadae mnalalamika wanawake wanawachuna wkt hela ulitoa bila kushukiwa bastola

If women didn't exist, all the money in the world would have no meaning.
Aristotle Onassis
 

well said bro! na katika maandiko matakatifu inaelezea wazi km mtu amefanya zinaa, au akamjua mkewe. hakuna matafsida hata. sijui watu inakuaje wawaze kuwa tunda la kati ni sex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…