Mwanamke anadekezwaje?

Mwanamke anadekezwaje?

Namdekeza mwanangu tu kwa sababu najua we ride and die together.

Wengine wajidekeze wenyewe.

Unaweza kumdekeza mtu huku huko kwenye mi social media ana wadekezaji wengine.

Huo ujinga sina muda nao.
 
ukimuudhi au akilia umbebe ..
hivyo ndio kubembeleza kwenyewe
 
Kwa kumtoa outings za nguvu, zawadi pia muhimu sana kuanzia ndogo ndogo mpaka kubwa kubwa, akikwambia najisikia nimechoka leo basi unamfanyia total body massage bab kubwa ali mradi kumfanya atake kuwa nawe saa zote na kama hayuko nawe anakumissije?

 
Last edited by a moderator:
kudekezwa kwani amekuwa mtoto? Mi huwa spendi kabisa hii tabia. Mtu mzma eti anataka kudeka mambo gan hayo
 
kwani watu mnavyosikia kudekeza mnaelewaje? maana wanaume wanavyokataa ooh 'sidekezi mtu mimi'! unajuaje kuwa hata hayo unayomfanyia ndo kudekeza kwenyewe???

tena its a good thing na itaongeza upendo kati yenu
 
kama mmeenda out waweza kumuomba pochi yake umsaidie kubeba
kudekeza means umfanyie vitu vidogo vidogo lakini vyenye maana kubwa kwa ulimwengu wa wapendanao
 
Namdekeza mwanangu tu kwa sababu najua we ride and die together.

Wengine wajidekeze wenyewe.

Unaweza kumdekeza mtu huku huko kwenye mi social media ana wadekezaji wengine.

Huo ujinga sina muda nao.

Hahaaaa na ana Id tele jf ...
 
Huku ndo kudekeza sasa..
 

Attachments

  • 1405316600890.jpg
    1405316600890.jpg
    58.9 KB · Views: 102
Back
Top Bottom