Mwanamke aliyekaa kiunaharakati

Mwanamke aliyekaa kiunaharakati

huu uzi umewekwa leo hii hii...ila mwenzio katumia jina 'wanawake wanaharakati'
 
Ah! Nilijua ukilikuta hilo neno la Wanaume wa Dar hiyo faini nisingeweza kuilipa!!!!

Mkuu kwema lakini? Unasalimiwa na kina Samuel Lugemalila (mzee wa Mirerani.)
Leo kabla Jogoo hajawika nitakuwa mitaa ya hapo mkuu nitakutafuta unionyeshe mji maana nasikia ZeDon haurusiwi kuingia kama hauna kadi ya chama
 
Mmeambiwa muishi na kwa akili.
Kila la kheri katika harakati za kukandamiza demokrasia.
 
Yaani mkuu unataka nilale asubuhi? Na ndio napambana kufukia gap hapa.

Wanawake wa siku hizi inabidi kupambana manake wanaume mmekataa kuwa wa kiume. Sasa kama hujiongezi mke afanyeje? Mwanamke ameumbwa kuangalia familia, huku akidekezwa, akipendwa na kutunzwa na mumewe. Hakuna mwanamke asiependa kuwa mwanamke.
King'asti we mchokozi saa9 hii lala bana maana utanifanya niandike upupu muhenga mie vijana wakiamka waanze kunipopoa mawe...
 
Yaani mkuu unataka nilale asubuhi? Na ndio napambana kufukia gap hapa.

Wanawake wa siku hizi inabidi kupambana manake wanaume mmekataa kuwa wa kiume. Sasa kama hujiongezi mke afanyeje? Mwanamke ameumbwa kuangalia familia, huku akidekezwa, akipendwa na kutunzwa na mumewe. Hakuna mwanamke asiependa kuwa mwanamke.
Basi sawa usisahau kumpe Boss Morning breakfast maana kisaikologia inaongeza uwajibikaji wa mwanaume
 
Umetembea mule mule, pitia hapa mombasa stoo twenzetu lomwe kwa wazee.
 
Mwanaume usipokuwa mfuasi wa mfumo dume haya lazima yakukute.

Be kauzu but romantic.
 
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA

Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao kupambana bali probleme iko hapa: wanapambana kwa madhumuni gani?

Wanawake wengi hawapambani kwa maana ya kuwasaidia waume zao [kama Mungu anavyotaka] bali kwa maana ya kutoka kivyao; ndio maana utawasikia wanaongea kauli zao za kiuanaharakati, "Usimtegemee mume", "wanaume hawaaminiki", "bora mwanamke niwe na uchumi wangu n.k".

Hivi mnajua kuwa...

Kama mume ni kichwa maana yake mke ni kiwiliwili; bahati mbaya ni kwamba macho na ubongo viko kwenye kichwa na sio kiwiliwili. Kiwiliwili kisipokiamini kichwa "automatic" kitaielekeza miguu kokote na kwa kuwa hakuna macho kuna mawili; mwili(ndoa) kuumia kutokana na kujikwaa ama kufa kabisa kwa kutumbukia shimoni.

Ngoja niwambie; ndoa yeyote ambayo mwanamke amekaa kiuanaharakati uwe na uhakika ilishajifia siku nyingi ama iko njiani kufa na ukiona wanandoa wanaendelea kuishi pamoja basi ujue ni kwa "kujilazimisha". Sijakutana na mwanamume yeyote duniani ambae anaweza kuishi kwa furaha nyumba moja na mwanamke anaeleta elements za uanaharakati ndani ya ndoa.

I tell you..

Ukiruhusu mwanamke ndani ya ndoa ajione anaweza kusimama bila wewe(mumewe) basi, ujue unacheka na nyani na muda wowote tutakuja tukusanye mabua tukalishie ng'ombe wetu. Kuishi na mke hakuhitaji DEMOKRASIA, kunahitaji AKILI, ujinga unaofanywa na wanaume wengi siku hizi ni kuruhusu DEMOKRASIA kutawala ndoa badala ya AKILI. Wewe kama unadhani demokrasia ndio uzungu na mapenzi kwa mkeo, shauri yako; hao wazungu unaowaigilizia ndoa zishawakimbiza siku nyingi.

Msifanye mchezo wandugu..

Ninawaonya mapema ili nisije kusikia eti mtu ananiambia mke aliemtafuta na kumuoa mwenyewe, amemshinda! Khaa! Yaani hapo itabidi utandikwe viboko vya mgongo; maana unakuwa umemdhalisha Mungu na umeudhalilisha uanaume pia. Uanaume tafsiri yake ni "Kuishi na mwanamke kwa akili kiasi kwamba abaki akikuheshimu na kukunyenyekea kwa furaha". Ukiona mwanamke anakudharau na hakusikilizi basi ujue umeshapoteza uanaume wako.

Andika hii pointi mahali..

Elewa kwamba uanaume haukai kwenye suruali bali uanaume unakaa kwenye akili. Nimemaliza, na kama nimekukwaza nenda kanishtaki kwa Paroko##

Ambiere Kiviere
Atakaye kwazika na andiko lako.

1 Jiwe la gizani limempopoa, hivyo maumivu yake makali yanatafsiliwa kwa kishindo cha kilio.
2 hana dini
 
Nimegundua waliooa wana tabu sana. Wanawake wakati mwingine wanafanya mambo kwa makusudi kabisa kupima misimamo ya waume zao. Ngoja niendelee kuwa single huku nikitafakari.
 
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA
(Kopi kwa wanawake wote mlioolewa)

Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao kupambana bali probleme iko hapa: wanapambana kwa madhumuni gani? Wanawake wengi hawapambani kwa maana ya kuwasaidia waume zao [kama Mungu anavyotaka] bali kwa maana ya kutoka kivyao; ndio maana utawasikia wanaongea kauli zao za kiuanaharakati, "Usimtegemee mume", "wanaume hawaaminiki", "bora mwanamke niwe na uchumi wangu n.k".

Hivi mnajua kuwa...

Kama mume ni kichwa maana yake mke ni kiwiliwili; bahati mbaya ni kwamba macho na ubongo viko kwenye kichwa na sio kiwiliwili. Kiwiliwili kisipokiamini kichwa "automatic" kitaielekeza miguu kokote na kwa kuwa hakuna macho kuna mawili; mwili(ndoa) kuumia kutokana na kujikwaa ama kufa kabisa kwa kutumbukia shimoni.

Ngoja niwambie; ndoa yeyote ambayo mwanamke amekaa kiuanaharakati uwe na uhakika ilishajifia siku nyingi ama iko njiani kufa na ukiona wanandoa wanaendelea kuishi pamoja basi ujue ni kwa "kujilazimisha". Sijakutana na mwanamume yeyote duniani ambae anaweza kuishi kwa furaha nyumba moja na mwanamke anaeleta elements za uanaharakati ndani ya ndoa.

I tell you..

Ukiruhusu mwanamke ndani ya ndoa ajione anaweza kusimama bila wewe(mumewe) basi, ujue unacheka na nyani na muda wowote tutakuja tukusanye mabua tukalishie ng'ombe wetu. Kuishi na mke hakuhitaji DEMOKRASIA, kunahitaji AKILI, ujinga unaofanywa na wanaume wengi siku hizi ni kuruhusu DEMOKRASIA kutawala ndoa badala ya AKILI. Wewe kama unadhani demokrasia ndio uzungu na mapenzi kwa mkeo, shauri yako; hao wazungu unaowaigilizia ndoa zishawakimbiza siku nyingi.

Msifanye mchezo wandugu..

Ninawaonya mapema ili nisije kusikia eti mtu ananiambia mke aliemtafuta na kumuoa mwenyewe, amemshinda! Khaa! Yaani hapo itabidi utandikwe viboko vya mgongo; maana unakuwa umemdhalisha Mungu na umeudhalilisha uanaume pia. Uanaume tafsiri yake ni "Kuishi na mwanamke kwa akili kiasi kwamba abaki akikuheshimu na kukunyenyekea kwa furaha". Ukiona mwanamke anakudharau na hakusikilizi basi ujue umeshapoteza uanaume wako.

Andika hii pointi mahali..

Elewa kwamba uanaume haukai kwenye suruali bali uanaume unakaa kwenye akili. Nimemaliza, na kama nimekukwaza nenda kanishtaki
 
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA
(Kopi kwa wanawake wote mlioolewa)

Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao kupambana bali tatizo liko hapa: wanapambana kwa madhumuni gani? Wanawake wengi hawapambani kwa maana ya kuwasaidia waume zao [kama Mungu anavyotaka] bali kwa maana ya kutoka kivyao; ndio maana utawasikia wanaongea kauli zao za kiuanaharakati, "Usimtegemee mume", "wanaume hawaaminiki", "bora mwanamke niwe na uchumi wangu n.k".

Hivi mnajua kuwa...

Kama mume ni kichwa maana yake mke ni kiwiliwili; bahati mbaya ni kwamba macho na ubongo viko kwenye kichwa na sio kiwiliwili. Kiwiliwili kisipokiamini kichwa "automatic" kitaielekeza miguu kokote na kwa kuwa hakuna macho kuna mawili; mwili(ndoa) kuumia kutokana na kujikwaa ama kufa kabisa kwa kutumbukia shimoni.

Ngoja niwambie; ndoa yeyote ambayo mwanamke amekaa kiuanaharakati uwe na uhakika ilishajifia siku nyingi ama iko njiani kufa na ukiona wanandoa wanaendelea kuishi pamoja basi ujue ni kwa "kujilazimisha". Sijakutana na mwanamume yeyote duniani ambae anaweza kuishi kwa furaha nyumba moja na mwanamke anaeleta tabia za uanaharakati ndani ya ndoa.

Nataka ufahamu ....

Ukiruhusu mwanamke ndani ya ndoa ajione anaweza kusimama bila wewe (mumewe) basi, ujue unacheka na nyani na muda wowote tutakuja tukusanye mabua tukalishie ng'ombe wetu. Kuishi na mke hakuhitaji DEMOKRASIA, kunahitaji AKILI, ujinga unaofanywa na wanaume wengi siku hizi ni kuruhusu DEMOKRASIA kutawala ndoa badala ya AKILI. Wewe kama unadhani demokrasia ndio uzungu na mapenzi kwa mkeo, shauri yako; hao wazungu unaowaigilizia ndoa zishawakimbiza siku nyingi.

Msifanye mchezo wandugu..

Ninawaonya mapema ili nisije kusikia eti mtu ananiambia mke aliemtafuta na kumuoa mwenyewe, amemshinda! Khaa! Yaani hapo itabidi utandikwe viboko vya mgongo; maana unakuwa umemdhalisha Mungu na umeudhalilisha uanaume pia. Uanaume tafsiri yake ni "Kuishi na mwanamke kwa akili kiasi kwamba abaki akikuheshimu na kukunyenyekea kwa furaha". Ukiona mwanamke anakudharau na hakusikilizi basi ujue umeshapoteza uanaume wako.

Andika hii pointi mahali..

Elewa kwamba uanaume haukai kwenye suruali bali uanaume unakaa kwenye akili. Nimemaliza, na kama nimekukwaza nenda kanishtaki kwa Paroko!
POVU RUKSAA
 
Back
Top Bottom