Mwanamke aliyekaa kiunaharakati

Mwanamke aliyekaa kiunaharakati

Sijakuelewa hata lengo la uzi wako ni nini hasa?

Kuwa muwazi ili wanaume wenzio wakuelewe. Pia nikwambie tu huko tunakoelekea kila mwanamke atakuwa kiuharakati kwa sababu huo ujinga ndio uliofanya wanawake wengi kuwa watumwa ndani ya ndoa zao.

Pia nikwambie tu sio kila mwanamke aliyekaa kiuharakati eti basi ndoa yake imeshakufa hamna kitu kama hicho.
Wanawake wengi waliokaa kiuharakati either wapo nje ya ndoa au ndoa zao zina nyufa kubwa. Ni rare kwa mwanaume kuishi na mwanamke mwanaharakati ndani ya ndoa.
 
Nyufa hizo ukimaanisha nini mkuu?

Hivyo kwa upande wako mkuu unataka mwanamke ndani ya ndoa awe wa aina gani? Kama hutojali naomba nisaidie na mie nipate kufahamu ili niwe na dhana kama hiyo yenu ya kwamba mwanamke mwanaharakati hafai basi wa aina hii ndio bora.
 
Sasa umekosa cha muhimu uko FB ukapata empty set kama hii..na ww kwa sabab ya empty brain ukaona upost huku..un akili gani ww ya ki nzi hivi??
 
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA
(Kopi kwa wanawake wote mlioolewa)

Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao kupambana bali probleme iko hapa: wanapambana kwa madhumuni gani? Wanawake wengi hawapambani kwa maana ya kuwasaidia waume zao [kama Mungu anavyotaka] bali kwa maana ya kutoka kivyao; ndio maana utawasikia wanaongea kauli zao za kiuanaharakati, "Usimtegemee mume", "wanaume hawaaminiki", "bora mwanamke niwe na uchumi wangu n.k".

Hivi mnajua kuwa...

Kama mume ni kichwa maana yake mke ni kiwiliwili; bahati mbaya ni kwamba macho na ubongo viko kwenye kichwa na sio kiwiliwili. Kiwiliwili kisipokiamini kichwa "automatic" kitaielekeza miguu kokote na kwa kuwa hakuna macho kuna mawili; mwili(ndoa) kuumia kutokana na kujikwaa ama kufa kabisa kwa kutumbukia shimoni.

Ngoja niwambie; ndoa yeyote ambayo mwanamke amekaa kiuanaharakati uwe na uhakika ilishajifia siku nyingi ama iko njiani kufa na ukiona wanandoa wanaendelea kuishi pamoja basi ujue ni kwa "kujilazimisha". Sijakutana na mwanamume yeyote duniani ambae anaweza kuishi kwa furaha nyumba moja na mwanamke anaeleta elements za uanaharakati ndani ya ndoa.

I tell you..

Ukiruhusu mwanamke ndani ya ndoa ajione anaweza kusimama bila wewe(mumewe) basi, ujue unacheka na nyani na muda wowote tutakuja tukusanye mabua tukalishie ng'ombe wetu. Kuishi na mke hakuhitaji DEMOKRASIA, kunahitaji AKILI, ujinga unaofanywa na wanaume wengi siku hizi ni kuruhusu DEMOKRASIA kutawala ndoa badala ya AKILI. Wewe kama unadhani demokrasia ndio uzungu na mapenzi kwa mkeo, shauri yako; hao wazungu unaowaigilizia ndoa zishawakimbiza siku nyingi.

Msifanye mchezo wandugu..

Ninawaonya mapema ili nisije kusikia eti mtu ananiambia mke aliemtafuta na kumuoa mwenyewe, amemshinda! Khaa! Yaani hapo itabidi utandikwe viboko vya mgongo; maana unakuwa umemdhalisha Mungu na umeudhalilisha uanaume pia. Uanaume tafsiri yake ni "Kuishi na mwanamke kwa akili kiasi kwamba abaki akikuheshimu na kukunyenyekea kwa furaha". Ukiona mwanamke anakudharau na hakusikilizi basi ujue umeshapoteza uanaume wako.

Andika hii pointi mahali..

Elewa kwamba uanaume haukai kwenye suruali bali uanaume unakaa kwenye akili. Nimemaliza, na kama nimekukwaza nenda kanishtaki kwa Paroko! [HASHTAG]#SmartMind[/HASHTAG]

Credit Albert Nyaluke Sanga FB wall
Uko sahihi kabisa
 
Sijakuelewa hata lengo la uzi wako ni nini hasa?

Kuwa muwazi ili wanaume wenzio wakuelewe. Pia nikwambie tu huko tunakoelekea kila mwanamke atakuwa kiuharakati kwa sababu huo ujinga ndio uliofanya wanawake wengi kuwa watumwa ndani ya ndoa zao.

Pia nikwambie tu sio kila mwanamke aliyekaa kiuharakati eti basi ndoa yake imeshakufa hamna kitu kama hicho.
dada emmyta ,asilimia kubwa ndivyo ilivyo japo sio wote wanaofanya hivyo kwa manufaa yao binafsi
 
Tatizo sio wao kupambana bali probleme iko hapa: wanapambana kwa madhumuni gani? Wanawake wengi hawapambani kwa maana ya kuwasaidia waume zao [kama Mungu anavyotaka] bali kwa maana ya kutoka kivyao; ndio maana utawasikia wanaongea kauli zao za kiuanaharakati, "Usimtegemee mume", "wanaume hawaaminiki", "bora mwanamke niwe na uchumi wangu n.k".
Good reasoning Comrade..

Hapo kwenye red ndipo kitovu ya Hoja ilipo. Umedodosa, umesaili vizuri sana. Lengo langu si kupingana na ulichokiandika. Mjinga anaweza kupingana nawe.

Nisingependa uniweke katika kapu la wajinga. Mwisho wa mjadala tutabaini kadhaa ya kutusaidia huko mbeleni.

Kwanini hukuweka bayana aina za harakati ambazo akizifanya mwanamke ndoa inakuwa mashakani?.

Pia utueleze madhumuni ambayo ni Negative (-) ya kuhatarisha ndoa endapo mwanamke atafanya harakati. Pia ukielezea madhumuni Positive (+) si tatizo.. Ni kukuza mjadala na kupanuana kiupeo.

Karibu..
 
Si mpaka muwe na hizo akili sasa!
Heshima Comrade..

Mbona unafanya "Generalization"?. Huoni kama unakosea kimantiki (Logically)?.

Unafahamu fasili ya neno "Akili" au "Mind" kwa kingereza?. Etimolojia (lilikozaliwa neno) na kadhalika?.

Unafahamu kuwa hakuna kiumbe hai asiye na akili?.
 
Kuku ana akili?
 
Mwanamke kuwa Mwanaharakati sio tatizo, tatizo ni pale anapoleta harakati kwenye Ndoa hapo ndio maumivu ya Kichwa yataanza taratibu..,
 
Shida ya mtoa mada, miaka yake hii hata akiongelea ishu ya vyakula, yaan analenga kwenye kundi la watu flani hivi(siasa inaingizwa hapo). Mi namuonea huruma, pa1 na kuwa yule jamaa wa Canada kapata uteuzi lkn bado mtoa mada huyu anakula sahani moja hilo kundi, mi huwa hata simuelewi.
Kwahiyo hata akiandika point ya msingi ila kwa kua yupo upande ule humwelewi???hivi hapo kati ya wewe na mtoa Mada nani asiye ekeweka tuanze hapa kwanza
 
Umetumia maneno 'wanawake walio kiuharakati' lakini uzi wako umeongelea 'wanawake watafutaji/wapambanaji'....je hayo maneno maana yake ni sawa?
 
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA

Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao kupambana bali probleme iko hapa: wanapambana kwa madhumuni gani?

Wanawake wengi hawapambani kwa maana ya kuwasaidia waume zao [kama Mungu anavyotaka] bali kwa maana ya kutoka kivyao; ndio maana utawasikia wanaongea kauli zao za kiuanaharakati, "Usimtegemee mume", "wanaume hawaaminiki", "bora mwanamke niwe na uchumi wangu n.k".

Hivi mnajua kuwa...

Kama mume ni kichwa maana yake mke ni kiwiliwili; bahati mbaya ni kwamba macho na ubongo viko kwenye kichwa na sio kiwiliwili. Kiwiliwili kisipokiamini kichwa "automatic" kitaielekeza miguu kokote na kwa kuwa hakuna macho kuna mawili; mwili(ndoa) kuumia kutokana na kujikwaa ama kufa kabisa kwa kutumbukia shimoni.

Ngoja niwambie; ndoa yeyote ambayo mwanamke amekaa kiuanaharakati uwe na uhakika ilishajifia siku nyingi ama iko njiani kufa na ukiona wanandoa wanaendelea kuishi pamoja basi ujue ni kwa "kujilazimisha". Sijakutana na mwanamume yeyote duniani ambae anaweza kuishi kwa furaha nyumba moja na mwanamke anaeleta elements za uanaharakati ndani ya ndoa.

I tell you..

Ukiruhusu mwanamke ndani ya ndoa ajione anaweza kusimama bila wewe(mumewe) basi, ujue unacheka na nyani na muda wowote tutakuja tukusanye mabua tukalishie ng'ombe wetu. Kuishi na mke hakuhitaji DEMOKRASIA, kunahitaji AKILI, ujinga unaofanywa na wanaume wengi siku hizi ni kuruhusu DEMOKRASIA kutawala ndoa badala ya AKILI. Wewe kama unadhani demokrasia ndio uzungu na mapenzi kwa mkeo, shauri yako; hao wazungu unaowaigilizia ndoa zishawakimbiza siku nyingi.

Msifanye mchezo wandugu..

Ninawaonya mapema ili nisije kusikia eti mtu ananiambia mke aliemtafuta na kumuoa mwenyewe, amemshinda! Khaa! Yaani hapo itabidi utandikwe viboko vya mgongo; maana unakuwa umemdhalisha Mungu na umeudhalilisha uanaume pia. Uanaume tafsiri yake ni "Kuishi na mwanamke kwa akili kiasi kwamba abaki akikuheshimu na kukunyenyekea kwa furaha". Ukiona mwanamke anakudharau na hakusikilizi basi ujue umeshapoteza uanaume wako.

Andika hii pointi mahali..

Elewa kwamba uanaume haukai kwenye suruali bali uanaume unakaa kwenye akili. Nimemaliza, na kama nimekukwaza nenda kanishtaki kwa Paroko##

Ambiere Kiviere
 
mbona huu uzi ushaandikwa humu humu

NB: Repetition is not allowed
 
Mkuu umetema almasi tupu hapa.

Hakika asiyeelewa au aliyekuwa amejisahau umemstua hasa wanaume wa mijini.
Thank you!
 
Back
Top Bottom