Mwanamke alikuwa chanzo cha mimi kunywa pombe

Habari wana jukwa hili pendwa.

Bila shaka hapa ni sehemu sahihi moja wapo yakupunguzia sumu za kifkra zinazowaua wanaume wengi.

Twende katika kusudio..

Nilikutana na binti mmoja toka Ruvuma mpole na muda wote Tabasamu kwa mbali.

Mwanaume nikamweleza lengo baada ya kufahamiana kiasi chake kwamba natafuta mke.
Mtoto Cheupe hakusita sana
akakubali tukaoana.

Baadaye tukapata mtoto wa kiume tukaanza kumlea.

Wakati huo nilikuwa na rafiki yangu wa kushauliana katika pilika za maisha.

Ila jamaa alikuwa anasifika vibaya kwa kuchapa mademu.
Na wife alikuwa anaonesha kuchukia Mimi kuwa na rafiki wa aina hiyo.

Baadaye nikaja tonywa kua rafiki yangu amemchapa wife sikuwa na kukurupuka.

Siku NNE mbele nikamuuliza wife kwa upole na huruma juu ya yeye kukunjwa na rafiki yangu.
Akaanza kulia na akanambia ni kweli amekunjwa nikacheka sana.
Nikamuuliza naomba sababu moja tu ya kumfuata rafiki yangu.
Akanijibu alitaka tu kujua kwanini wanawake wengi wanamfuata na wakati huo wanajua ni Malaya.
Khaaa!nilipatwa na hasira mwishowe nikashusha pumzi kama namediteti.
Sijamuuliza chochote mpaka leo hii nina mwaka sasa jioni ikifika napiga zangu tungi ili nikimwona nizidi kuamini hakuna chochote kilichotokea.

Sikuwahi kufikili kugeuza pombe kuwa kiburudisho changu.
Sio majirani wala ndugu zake hata ndugu zangu wanamuamini kwa upole wake lolote likitokea wanahisi mimi ndiye chanzo.

Bado binafsi nampenda azidi kuwa mama wa familia yangu ila kila nikimcheki namuona kama Silence Killer.
Jamaa urafiki ulivunjika na kahama mkoa.

Ntarudi kesho weitaaaa ongeza kabapa kadogo.

Ni taarifa tu msiwahukumu wanywa pombe.
Blaza umefanya maamuz mazuri sana, endelea kula tungi had yule jamaa aliyeweka MIKONO JUU AISHUSHE
 
Da nyuzi hizi na michango ya wanawake inatia maumivu zaidi.
Heri kuwazalisha maana ukimilikindio kuliwa n nje nje
 
Habari wana jukwa hili pendwa.

Bila shaka hapa ni sehemu sahihi moja wapo yakupunguzia sumu za kifkra zinazowaua wanaume wengi.

Twende katika kusudio..

Nilikutana na binti mmoja toka Ruvuma mpole na muda wote Tabasamu kwa mbali.

Mwanaume nikamweleza lengo baada ya kufahamiana kiasi chake kwamba natafuta mke.
Mtoto Cheupe hakusita sana
akakubali tukaoana.

Baadaye tukapata mtoto wa kiume tukaanza kumlea.

Wakati huo nilikuwa na rafiki yangu wa kushauliana katika pilika za maisha.

Ila jamaa alikuwa anasifika vibaya kwa kuchapa mademu.
Na wife alikuwa anaonesha kuchukia Mimi kuwa na rafiki wa aina hiyo.

Baadaye nikaja tonywa kua rafiki yangu amemchapa wife sikuwa na kukurupuka.

Siku NNE mbele nikamuuliza wife kwa upole na huruma juu ya yeye kukunjwa na rafiki yangu.
Akaanza kulia na akanambia ni kweli amekunjwa nikacheka sana.
Nikamuuliza naomba sababu moja tu ya kumfuata rafiki yangu.
Akanijibu alitaka tu kujua kwanini wanawake wengi wanamfuata na wakati huo wanajua ni Malaya.
Khaaa!nilipatwa na hasira mwishowe nikashusha pumzi kama namediteti.
Sijamuuliza chochote mpaka leo hii nina mwaka sasa jioni ikifika napiga zangu tungi ili nikimwona nizidi kuamini hakuna chochote kilichotokea.

Sikuwahi kufikili kugeuza pombe kuwa kiburudisho changu.
Sio majirani wala ndugu zake hata ndugu zangu wanamuamini kwa upole wake lolote likitokea wanahisi mimi ndiye chanzo.

Bado binafsi nampenda azidi kuwa mama wa familia yangu ila kila nikimcheki namuona kama Silence Killer.
Jamaa urafiki ulivunjika na kahama mkoa.

Ntarudi kesho weitaaaa ongeza kabapa kadogo.

Ni taarifa tu msiwahukumu wanywa pombe.
Ulivyosema tu "nilikuwa nina rafiki yangu", nikajua tayari
 
Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Hahhahahahahhaahahahah,,, umefenya nicheke balaaaa
 
Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Nauunga mkono juhudi
 
Back
Top Bottom