Mwanamke alikuwa chanzo cha mimi kunywa pombe

Samahani wangoni.

Ila wanaongoza kwa kula wake za marafiki zao.

Tusiwaamini hawa marafiki zetu hasa tuliowafanya ndugu. Tunajisahau nankuwaona ndugunzetu.

Juzi mmoja kanipiga ila sio masuala ya mapenzi.
Ha ha ha ha ha mim Mngoni mzee nataka kuja kukutembelea home
 
Samahani wangoni.

Ila wanaongoza kwa kula wake za marafiki zao.

Tusiwaamini hawa marafiki zetu hasa tuliowafanya ndugu. Tunajisahau nankuwaona ndugunzetu.

Juzi mmoja kanipiga ila sio masuala ya mapenzi.

We Ke au Me?
 
Shost alicheat na mzungu kazini kwao, kama huyo wako alitaka kujua ladha ya nyeupe. Wenye nia njema walimfahamisha mumewe. Shost alikataa katakata.
Mume alikuja na mistari, mimi na wewe ni mwili mmoja tusifichane. Ndipo alipolainika akafunguka
Tangu afunguke, ndoa yake haina afya njema. Mume anaweza kurudi asubuhi anamwambia nilikuwa ninatest kitu kipya
Duh
 
Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Hahah
 
Naunga mkono hoja!!!
 
Ha ha ha ha Mzee hatuaminian kabisa aisee
Mzee kama unarafiki wa kingoni chunga saana.

Na wengi ni matozi kama wakongo. Unakuta mzee mzima bado ana mambo ya ujana.

Ulizia mtaani watakuambia.
 
Nmeish sana na wangoni mzee nawajua vizur mnoo ukiacha wanawake kinachofuatia ni pombe
 
Shost alicheat na mzungu kazini kwao, kama huyo wako alitaka kujua ladha ya nyeupe. Wenye nia njema walimfahamisha mumewe. Shost alikataa katakata.
Mume alikuja na mistari, mimi na wewe ni mwili mmoja tusifichane. Ndipo alipolainika akafunguka
Tangu afunguke, ndoa yake haina afya njema. Mume anaweza kurudi asubuhi anamwambia nilikuwa ninatest kitu kipya

Wanawake dhaifu sana... "...mimi na wewe mwili mmoja.." Mwanamke anafunguka???
 
Akili zao wanazijuaga wenyewe hawa viumbe, eti nilitaka kujaribu....

Ila pole sn kaka maan mke anauma kw kwel!
Yeye huyo amejaribu wangapi na je alikuwa bikira alipokutana na huyo dada? Au tuseme mwanamke kama alivyomuita.
 
Back
Top Bottom