Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,657
- 8,589
mie je unanipenda kweli au wandganyaata mm nikikupenda nimekupenda kweli, kwa nn umtese mwenzio kama huna mapenzi nae!
mie je unanipenda kweli au wandganyaata mm nikikupenda nimekupenda kweli, kwa nn umtese mwenzio kama huna mapenzi nae!
kwenye hii picha huyu ni shoga sasa umeweka ili iweje
Unajua kusoma napo kunasaidia sanaa yani sasa umeona hiyo picha mwanaume au mwanamke na anaeongelewa apo umeona ni mwanaume au mwanamke bro Ndo mana mjini atutaki vichwa vibovu..kwenye hii picha huyu ni shoga sasa umeweka ili iweje
ww sio mpenzi wangu Eddy, ila nakupenda kama kakamie je unanipenda kweli au wandganya
sawa ila leo nahama kidukaww sio mpenzi wangu Eddy, ila nakupenda kama kaka
unahamia wapi tena kule kumekuchoshasawa ila leo nahama kiduka
nimekaa hadi nimezoeleka nasogea mabibounahamia wapi tena kule kumekuchosha
safi sana unajua sehemu ukishazoeleka kuna ubaya wake pianimekaa hadi nimezoeleka nasogea mabibo
ila weekend pale pale maeneo yangu na mkinga naye anataka kufanya yake pale si umepaonasafi sana unajua sehemu ukishazoeleka kuna ubaya wake pia
hivi unajua eddy sijawahi kufika pale maeneo yako mkinga wapi tenaila weekend pale pale maeneo yangu na mkinga naye anataka kufanya yake pale si umepaona
Mbona umekanusha haraka haraka?Hapana sio
pale pale friends corner kwa pembeni kuna mkinga kaja na moto hatareee we nenda hata keshohivi unajua eddy sijawahi kufika pale maeneo yako mkinga wapi tena
HamnaMbona umekanusha haraka haraka?