Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Tatizo wanawapenda watu flan heve jeuri, mi uwa nadhan ili mwanamke akupende labda umcheat sana, jifanye you dont care, mlize kila siku yaan apo huwa awaondoki

Uki jifanya a nyc man, imekula kwako
 
sasa mara nyingi utakuta huyo mwanamke mwenye mapenzi ya kweli kwako, "physically" unakuwa hujavutiwa na huyo mwanamke, ila kwa ajili ya uchu unasema aah ngoja nimgonge tu kwa muda nipunguze nyege..... for eg mimi mademu waliokuwa na mapenzi ya kweli kwangu hawakuwa warembo kabisaaaaaaa belionea Heaven Sent Valentina
Ukiupata upendo wa kweli utunze na kuulea vema,uzuri wa macho hudanganya ila upendo hudumu
 
Tatizo wanawapenda watu flan heve jeuri, mi uwa nadhan ili mwanamke akupende labda umcheat sana, jifanye you dont care, mlize kila siku yaan apo huwa awaondoki

Uki jifanya a nyc man, imekula kwako
U r wrong bro!

Unavyomtreat mwanamke vizuri vinamuongezea mshawasha kukupenda zaidi....

Hapa nazungumzia mwanamke anaeelewa kupendwa na kupendeka...
 
Ngoja niweke sawa hii....cheating inapunguza tamaa za kutaka kufanya ngono na kila mwanamke umuonaye. Nani asiyecheat dunia hii?
Watu wengi wanacheat.Hata hivyo haimaanishi kila mtu anacheat.Hata kama wanaocheat ni 90% bado 10% ni watu wengi tu ambao hawacheat.
 
Unazungumzia wanawake hawa wa kibongo au wa pande zingine za dunia hii?🙄
 
sasa mara nyingi utakuta huyo mwanamke mwenye mapenzi ya kweli kwako, "physically" unakuwa hujavutiwa na huyo mwanamke, ila kwa ajili ya uchu unasema aah ngoja nimgonge tu kwa muda nipunguze nyege..... for eg mimi mademu waliokuwa na mapenzi ya kweli kwangu hawakuwa warembo kabisaaaaaaa belionea Heaven Sent Valentina

True that mkuu mimi ilinitokea
 
Nimekupenda sana mleta uzi huu,nataman km hao wengine wanao tusumbua wange fungua macho yao watazame mbali sana km ww nadhan mapenz yatakuwa yanathaman.

Jaman ubaya wa sura unakujaje kwenye mapenz ya dhat?kama wote mtaoa warembo sisi wabaya nan atatuoa jaman?

Lkn wanawake ambao wako serious kiukweli wanakuwa wakawaida sana.

Hatuna namna tutavumilia maana wanaume wanapenda wanawake wazuri wenye sifa zotee wanazo zihitaj.kitu ambacho kwa wadada watafutaj wanakosa sifa.

Haya itafika
 
U r wrong bro!

Unavyomtreat mwanamke vizuri vinamuongezea mshawasha kukupenda zaidi....

Hapa nazungumzia mwanamke anaeelewa kupendwa na kupendeka...
Valentina,
thanks nme elewa

Ila experience ime nifundisha vile nlovo sema, wana wake wengi wanakuwa ba wrong guys
 
nimejitahidi nimesoma ......tunatakiwa tuwapende na kuwajali hawa wanawake jamani....sio ku take advantage....kwa upande wao wanaotake advantage ni wao achaneni nao maana kila jinsia ina mapungufu yake..............mi wangu nampendana namjali maana kanipenda sna malii au utajiri ila potential na nidhamu na heshima nliyonayo kwa wanajamii na kwake
 
Back
Top Bottom