Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha,
anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi
furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu
zako, uvipendavyo na yeye atavipenda,
atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana
na mtindo wako.
Haitajalisha ni kiasi gani utamuudhi,
atakusamehe hata kabla hujamuomba msamaha,
atachokifanya ni kusubiri tu umuombe msamaha
kuthibitisha kama kweli umejutia kosa lako.
Atajaribu kuwa na wivu na atakulinda kwani
atahitaji uwe wake, wake peke yake na sio ku
share. Atawakataa wengine wote
wanaomtongoza kwa sababu ameona kesho yake
ipo mikononi mwako.
Haitajalisha ni kiasi gani uko mbali na yeye,
atajilinda kwa ajili yako. Atalike na ku comment
kila kitu unachoweka facebook hata kama ni cha
kipuuzi (hahaahaa).
Atakujibu kwa wakati text zako either watsapp,
za kawaida au inbox ya fb. Hatajali kama
unampa pesa au laa, kama ni tajiri au laa kwa
sababu lengo lake ni kujenga maisha na wewe na
sio kupass time ameona potentials kwako.
Atakuonyesha marafiki zake na ndugu zake, kwa
sababu anajivunia kuwa mpenzi wako.
Tafadhali sana, muangalie mwanamke huyo,
moyo wake umejawa na mapenzi, anastahili
kutunzwa na kupendwa kama almasi.
Lakini tatizo kubwa la hawa "wavulana" (baadhi
yao) baada ya kumfanya akupende zaidi, baada
ya kupoteza muda wake juu yako, baada ya
kuwakataa wanaume wengine ambapo kimsingi
wengine walikuwa tayari kumuoa, baada ya
kumuacha akutambulishe kwa ndugu zake na
marafiki sasa unamuacha, unamkataa kwa
mbwembwe nyingi, unamuacha akiwa na
maumivu na aibu kubwa kwamba atawaambia
nini wazazi wake, ndugu na marafiki,
atatambulisha wangapi?
Na akiulizwa yuko wapi yule uliyetutambulisha?
Awajibu nini!? Ofcoz atakachofanya ni
kuinamisha kichwa huku ameshika mashavu!
Hana jibu ni aibu na maumivu makubwa kwa
kuwa alikupenda kwa dhati.
Mbona mnawaweka katika wakati mgumu
wanawake waliopewa moyo wa kupenda?
Brothers, usimfanye mwanamke wako ajute
kwanini alipenda, usifanye wengine wamcheke na
kumdhihaki. Timiza ahadi yako, kama
amekukosea na kukuomba msamaha jaribu
kumpa nafasi ya pili. Kila mtu anahitaji nafasi ya
pili ili aweze kurekebisha pale alipokosea.
Na nyie vijamaa mnaokua sasa, miaka 14 na
kuendelea msiige tabia ya sisi kaka zenu, hiyo
sio tabia njema kabisa. Jifunzeni kuheshimu
hisia za mtu. Kujeruhiwa kihisia kunauma kuliko
maumivu ya risasi.
Kama huna future nae usimtongoze na kumpa
mimba.
Sio wa karne hii,huenda mtoa mada sio wa dunia hii
 
I wish some men could open their spiritual eyes and see it well for those women who truly love their men .. This would help them to stop lie , cheating , being violent and etc.. Thanks..

Nimeipenda comment yako....Daaahhh tumekupata loveisweet!!!!
 
Ahsante Sana umeniona Mimi Hapa nn ngoja nimpigie simu .
 
Mleta mada asante sana. Wanawake wanapenda kweli ka dhati ila shida kubwa wale wanaopenda kwa dhati na uaninifu wa wali ya juu ukiwaudhi imekula kwako. Watavumilia wee ila siku akimau kukung'ita majivu ujue ndiyo mwisho wake na wewe. Ukijua mke au mpenzi wako mwanamke anakupenda basi mpende kwa dhati na mahusiano utayafurahia.
 
ni kweli mkuu, sometimes hadi raha. ukiweka ujumbe flan whatsap, unakuta nae kaweka huo huo. hata perfume anaanza kutumia kama ya kwako...... etc
 
Mwanamke ana tatizo moja tu ambalo wanaume wote wanatakiwa kulifahamu.

"Hawana uwezo wa kuresist au kupersist uongo"

Kwahiyo anaweza kukupenda kwa moyo wake wote lakini akitikiswa kidogo tu tayari anayumba. Huwa wanagutuka ashaharibu.
 
Nimesoma nilivyo fika katikati nika skip mpk line ya mwisho kisha nikajipongeza "afadhali sikulisoma kote"

Ni mawazo ya Pimbi
 
I wish some men could open their spiritual eyes and see it well for those women who truly love their men .. This would help them to stop lie , cheating , being violent and etc.. Thanks..


Cheating ni muhimu katika jamii....kwa mila za kwetu inaitwa nyumba ndogo na ni halali kuwa nayo kwani kunapunguza uashereati wa kuwa na tamaa za kuchapa kila mwanamke. Ukiwa na nyumba yao ndogo, akili inatulia na ufanya kazi kwa ufanisi Zaidi ofisini, stress zinapungua, nyeto ndiyo kabisaaa inasahaulika, mawazo ya kufila kuku au mbuzi yanatoweka, unabaki kuwa mtu wa Amani tu na furaha.
 
Cheating ni muhimu katika jamii....kwa mila za kwetu inaitwa nyumba ndogo na ni halali kuwa nayo kwani kunapunguza uashereati wa kuwa na tamaa za kuchapa kila mwanamke. Ukiwa na nyumba yao ndogo, akili inatulia na ufanya kazi kwa ufanisi Zaidi ofisini, stress zinapungua, nyeto ndiyo kabisaaa inasahaulika, mawazo ya kufila kuku au mbuzi yanatoweka, unabaki kuwa mtu wa Amani tu na furaha.
I dont believe on this .. Cheating is not acceptable thing .. Thanks ..
 
Back
Top Bottom