Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Mwanamke akipenda anapenda kweli!

Hivi mtoa mada anazungumzia wanawake wote? au unawazungumzia aliye katika kampen ya kutaka kuolewa? kiukweli kabisa mwanamke huwa humble pale anapojua uko stable kiuchumi otherwise ni majanga tupu.
 
tatzo wanawake weng wanapenda wanaume malaya..! ukimfata unayempenda kwa dhat anakutoa nduki, then baada ya mwez unaskia keshaachwa.
 
Wait untill that good girl goes bad... Women lie men lie.
 
Mleta mada asante sana. Wanawake wanapenda kweli ka dhati ila shida kubwa wale wanaopenda kwa dhati na uaninifu wa wali ya juu ukiwaudhi imekula kwako. Watavumilia wee ila siku akimau kukung'ita majivu ujue ndiyo mwisho wake na wewe. Ukijua mke au mpenzi wako mwanamke anakupenda basi mpende kwa dhati na mahusiano utayafurahia.
Ka=kwa
uaninifu=uaminifu
 
I wish some men could open their spiritual eyes and see it well for those women who truly love their men .. This would help them to stop lie , cheating , being violent and etc.. Thanks..
The problem is women don't see men who truly love them but follow who truly deceive them.
 
I wish some men could open their spiritual eyes and see it well for those women who truly love their men .. This would help them to stop lie , cheating , being violent and etc.. Thanks..
From a man perspective; I understand that I ought to love my wife however the hardest part is for my wife to accept that love the way I love her.
Most of women have their own definition of " what love is" , to meet that definition is man hardest endeavour.
All in all, loving your wife is the best thing you can do. Once your wife is happy and secure in love everything in your relationship will work out in an amazing way.
 
When woman love, she loves for reall...................R.Kelly
 
Cheating ni muhimu katika jamii....kwa mila za kwetu inaitwa nyumba ndogo na ni halali kuwa nayo kwani kunapunguza uashereati wa kuwa na tamaa za kuchapa kila mwanamke. Ukiwa na nyumba yao ndogo, akili inatulia na ufanya kazi kwa ufanisi Zaidi ofisini, stress zinapungua, nyeto ndiyo kabisaaa inasahaulika, mawazo ya kufila kuku au mbuzi yanatoweka, unabaki kuwa mtu wa Amani tu na furaha.

AJABU YA MWAKA! Cheating inapunguza Uasherati ! cheating kwa kiswahili ni Uasherati.
 
Binafsi naheshimu sana mwanamke anayependa kwa dhati. Pia ifahamike kuwa hata mwanaume akupende vipi hawezi kufanya hata nusu ya hayo yaliyoorodheshwa hapo juu. Mwanaume anaweza aka-behave kibabe au kama hajali hivi lakini kumbe moyoni kafa kaoza.
Jinsi ya kupenda ya mwanaume ni tofauti na jinsi ya kupenda ya mwanamke.
 
sasa mara nyingi utakuta huyo mwanamke mwenye mapenzi ya kweli kwako, "physically" unakuwa hujavutiwa na huyo mwanamke, ila kwa ajili ya uchu unasema aah ngoja nimgonge tu kwa muda nipunguze nyege..... for eg mimi mademu waliokuwa na mapenzi ya kweli kwangu hawakuwa warembo kabisaaaaaaa belionea Heaven Sent Valentina
 
mapenzi peke yake hayatoshi kutunza mahusiano! yana sababu kubwa ya kusamehe, kujali, kuhifadhi nk ila kila changamoto inatatuliwa na mapenzi! na wanawake wengi hawafahamu wanaume hawahitaji mapenzi kama wanavyohitaji heshima, wakipata heshima nao ndo wa anza kukupenda!
Ata maandishi yanasema "wanaume wapendeni wake zenu na wake waheshimuni wanaume zenu" yani manake... kama ilivyo ngumu mke kumheshimu mme basi ndo ilivyongumu mume kumpenda mke..
Well said. Mm najisikia ufahari pale mwanamke anaponiheshimu na ndio unakuwa mwanzo wa kumuwazia mema
 
Back
Top Bottom