Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.

Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya

Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
Mimi namwambia kuwa nasubiria teuzi hivi karibuni!!!
 
Sasa hapo wewe ni bora udanganye..
Sio kusema unatafuta kazi maana anayetafuta kazi na ambaye hana kazi ni the same πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Tatizo ukidanganya ni suala la muda tu. Na ukisema ukwel napo mtihani.
Bora uwe mkweli kuwa sina kaz ila kazi yangu pekee kwa sasa ni kutafuta kazi.

Na hii ni kazi kubwa maana maana unataliwa utumie pesa kufanikisha hii kazi

Huion kama ni kazi tosha ?
 
Dunia haina huruma. Unalipwa kwa jinsi unavyojipa thamani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Umeongea kitu kikubwa sana na ni cha ukweli, naliona hili huko mtaani katika kila eneo kuanzia biashara , mahusiano na wengine (nje ya mapemzi) mpaka ajirani. Your value(that u create for urself) determines how worthy people be seeing you
 
Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.

Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya

Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
imenigusa hii mmoja nilimwambia nafanya Kazi Tigo, Mwingine nafanya NBC Bank, bila hivyo nisingewapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom