Mwanamke akiendesha baiskeli

Hapo mbunye lazma ikomae kama tairi la folk lift kwa friction hiyo sio mchezo
 
Huyo ni mfanyakazi mzuri anapiga mzigo hadi anasahau kuoga.
 
A hardworking and committed Woman!
 
Kwa kweli mnaweza,vp wewe unajua kuendesha huo usafiri?
Sijawahi kabisa! hata juzi nilienda hospitali goti linauma, nikapelekwa kitengo cha mazoezi moja wapo ya zoezi wakaniambia haya lala halafu fanya kama unaendesha baiskeli!! looooh! nikawaaambia mie sijawahi ndio wananielekeza, hahahahahah
 
Ohoooo!!!pole mkuu hapo sasa inabidi hata ukiwa nyumbani ujitahidi kupiga hako kazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…