Mwanamke akicheat anaweza badilika?

Mwanamke akicheat anaweza badilika?

Wakuu habari zenu, naomba kuuliza hv kwel mwanamke ambaye amekusaliti na akaomba msamaha kweli anaweza badilika asirudie tena?? Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu unamkamata ndo anaomba msamaha

WEKA PICHA KISHA NI_PM NAMBA YAKE YA SIMU FASTA
TULIMALIZE HILO TATIZO MKUU.
 
Ndivyo, software zetu zilivyo. Mwanaume na mwanamke ni Tofauti kwenye hisia za kimapenzi.

Mwanaume kumpenda mwanamke haiishii kwenye mapenzi, bali pia domination. Yaani nakupenda, wewe ni wangu upo chini yangu. Katika Mali wewe ndiye exclusive property ya mwanaume. Tangu uumbaji wa Mungu imekuwa hivyo. Wanawake waliolewa wengi kwa mwanaume mmoja, lakini hakuna wanaume wengi waliooa mwanamke mmoja. Haiwezekani
Hiyo si ni mentality tu mliojiwekea...?! Mnatakiwa kufaham,maumivu ambayo wewe mwanaume unapata ukisalitiwa basi wanawake tunajisikia hivyo hivyo...
Wenzetu mioyo yenu ndo ipo delicate sana au...
 
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza hv kwel mwanamke ambaye amekusaliti na akaomba msamaha kweli anaweza badilika asirudie tena?? Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu unamkamata ndo anaomba msamaha
Mmmh mkuu Mimi imenitokea Na Sasa ivi Nina mpango wa kumuacha kabisa Ni ngumu kuacha lazima watarudiana tu Na Mimi ex wangu tangia nilivyogundua yuko Na jamaa vituko haviishi nataka nimuachie jamaa kabisa
 
Na ww ulikua mzembee,3 years anapigika nje hujui..cha huyo ni jipu chukua time yako tu..jua kwann alikusaliti mda wote huo then achana nae aende kwa uyo jamaa aliokua anajiiba bae cku zote izo
 
Nimeweka wazi kuwa ni mpnz tu ila ni ambaye kwao wananifahamu na kwetu wanamfaham ila bado cjamchumbia...nilipanga kufanya hlo tukio December this year

Achana naye, huo ni mwanzo wa mgogoro huko mbeleni
 
Hii mada ni ngumu na muhimu sana kwenye maisha yetu, kwa mawazo yangu aliyesalitiwa akubali na asamehe ndani ya mwaka utajua kama amebadilika au hapana na jitahidi usionyeshe kama unamfatilia ikiwezekana mpe free time zaidi awe huru sana akijisahau tu utamshika tena
 
Binaadamu nature yake ni mabadiliko. . .
Kwa io kama aliweza kubadilika miaka mitatu ilopita akaanza ku-cheat, uwezo wa kubadilika akaacha upo pia
Joanah hebu tupe uzoefu wako ktk hili!
 
Kama unampenda follow ur heart... huku kila mtu atakupa ushauri wake..... Ila pia kama na wewe ulishawahi Ku mcheat hata Mara moja basi msamehe...... Ila tafuta sababu ya yeye kufanya ivyo usikute wewe ndo chanzo
 
Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu unamkamata ndo anaomba msamaha

Na vipi usinge mkamata,Je angeendelea au Angeacha kwa hiari au ndo angelowea uko uko
Bwana mdogo tafakari,Chukua hatua..HAKI YA ELIMUUU,SORRY HAKI YA MAPENZI
 
Kusema ukwel namm ndo kinachoniumiza kichwa coz walikuwa wanashiriki kila kitu cha mapenz...na wakat huo mm npo wilaya nyingine ila najitahidi sana kumtembelea at least every weekend...halaf mbaya zaidi jamaa linanijua vzur
Nikosa kubwa sana kumsamehe msaliti.. Huyo aweza atakukuua ukimuoa Mali akampa mchizi afu akasema karogwa kumbe ndo udelila... Fanya hivi kinachokuumiza ni mazoea Tafuta demi mkali zaidi yake ikiwezekana hongaa ufute maumivu maisha yaendelee unafamilia baba na mama wanakutegemea alafu we unaumiza kichwa kumsamehe msaliti.. Just move on na yeye kwake itakua fundisho akipata mwanaume mwingine hataeudia kosa.. So utakuwa umejenga sio kubomoa.
 
Hiyo hali imewahi kunitokea Mimi mbaya Zaidi yule Dada tulikuwa na Mahusiano lakin Tupo Mbali mbali siku nakuja kukutananae aliniambukiza kisonono iliniuma sana, Nikaenda hospital nikatibiwa na yeye nilimwambia akenda kutibiwa sasa hapo ndipo ilibidi anieleze ukweli wote ,akakiri Ni kweli alikuwa anafanya hivyo kutokana na Maisha aliyokuwa anayapitia , Mwanaume nikajikaza akaomba nimsamehe hatorudia tena Maishan mwake,kiukweli tuli zinguana sana sasa nikawa na Hasira Kali juu yake bado nilkuwa na stress yawezekana kaniambukiza HIV Sikutaka hata kusikia sauti yake , Daaah namshukuru mungu sikupata HIV lakin nimeambulia kuugua Madonda ya Tumbo ndio yananitesa mpaka sasa hivi , bado tunawasiliana lakin Mapenzi yamepungua kwake
 
Back
Top Bottom