Mwanamke akicheat anaweza badilika?

Mwanamke akicheat anaweza badilika?

Kuacha ni ngumu sana, nimewahi kutoka na mke wa mtu, siku moja baba mkwe wake akatufuma ndani saa sita usiku, mmewe alikua kasafiri, sasa ile natoka kwake nikakutana uso kwa uso na baba mkwe wake naye alikua amekuja kulikua na tatizo la kifamilia, yule mwanamke aliapa hatokuja hata kunitumia sms, nikauchuna tu baada ya miezi 6 tukaonana akaomba mechi nikampotezea akaaanza kusumbua, sina tym nae japo ananisumbua.
 
Msingi wa msamaha unaweza usiwe mapenzi aliyo nayo kwako, ila inawezekana kuna kitu/vitu unampa anahisi atavipoteza.

Ungesema umemfumania na mtu wa aina gani ingesaidia kujua na vitu/kitu cha aina gani hicho anachohisi atapoteza.

1) Kama wewe kapuku ila umemfumania na mtu anayejiweza. Basi inawezekana wewe ni SEX MACHINE alafu huyo kijeba uliyemkuta nae ATM MACHINE. Sasa inawezekana kinachomliza ni kupoteza Sex Machine yake.

2) Kama wewe unajiweza ila huyo kijeba uliyemfumania nae ni Kapuku. Basi wewe wewe ni ATM MACHINE na Huyo kijeba ni SEX MACHINE kwa hiyo kinachomliza ni anahofia kupoteza ATM Machine.

MUHIMU: ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
Mkuu ukwel ni kwamba mm nna uwezo wa kati, mwajiriwa wa serikali wizara ya Fedha...kumhudumia naweza...na kama kagari kadogo pia ninako anapandaga...

Na huyo jamaa ni mfanyabiashara wa vyakula, ana uwezo wa chini ya mm, ila ni kwamba yeye kanizidi umri kama miaka 7 ila hajaoa!
Na kama mambo yale mengne huwa anakiri kuwa ninaweza....na hata Ex wang wanakubali pia kuwa naweza hapo ndo nachanganyikiwa...
 
Kuacha ni ngumu sana, nimewahi kutoka na mke wa mtu, siku moja baba mkwe wake akatufuma ndani saa sita usiku, mmewe alikua kasafiri, sasa ile natoka kwake nikakutana uso kwa uso na baba mkwe wake naye alikua amekuja kulikua na tatizo la kifamilia, yule mwanamke aliapa hatokuja hata kunitumia sms, nikauchuna tu baada ya miezi 6 tukaonana akaomba mechi nikampotezea akaaanza kusumbua, sina tym nae japo ananisumbua.
Duh
 
Kwa case hii nadhani tatizo kubwa liko kwa mumewe!! The husband got to do his homework! Tofauti na hapo atagongewa hata na wengine.

Ila mke wa mtu sumu, jipange ukifumwa na mumewe, uwe tayari umeshaandika "wish"
 
Mkuu ukwel ni kwamba mm nna uwezo wa kati, mwajiriwa wa serikali wizara ya Fedha...kumhudumia naweza...na kama kagari kadogo pia ninako anapandaga...

Na huyo jamaa ni mfanyabiashara wa vyakula, ana uwezo wa chini ya mm, ila ni kwamba yeye kanizidi umri kama miaka 7 ila hajaoa!
Kama ni kweli basi Wewe ni ATM MACHINE umekuwa msaada mkubwa kwake anahofia maisha baada ya kukupoteza hii inamaanisha ni mtumwa wa vitu na tuhela twako.

Na kwa huyo jamaa kafuata chezo au ana vitu vidogo vidogo ambavyo wewe huna katika mahusiano yenu kwa hiyo inawezekana jamaa anamkosha vizuri.

Unaweza kumsamehe ila elewa ni mtumwa tu wa vitu na tuhela twako. Na usipo improve game au vitu vitu vidogo vidogo kwenye mapenzi yenu hawezi kubadilika.

Mbele ya Safari atauza game kwa kujifichaficha na mapenzi ya kujificha yanavyonoga. Weee asikuambie mtu.

Ukimsamehe jaribu kujisahihisha nawewe mkuu umezidiwa.
 
Kwa case hii nadhani tatizo kubwa liko kwa mumewe!! The husband got to do his homework! Tofauti na hapo atagongewa hata na wengine.

Ila mke wa mtu sumu, jipange ukifumwa na mumewe, uwe tayari umeshaandika "wish"
Niko makini sana, yule shetani hajanipitia tena, na hatonipitia tena, ile ilikua ujana sa hivi umri unaenda.
 
Mpenzi tu anaanzaje kuku cheat?
Huyo anatumia fursa zake anazoona zinamfaa.
Najua wana ndoa pekee ndo wana cheat kwa sababu wapo chini ya kiapo.
 
Mkuu, wanawake karibia wote wanajua kuwa wanaume huwa hatusamehi kosa la kucheat.

Hivyo, ukimsamehe huweza tokea moja Kati ya haya mawili.

1.Anabadilika na kuwa mwoga sana kwako, anakuheshimu mpaka unamuonea huruma. Anakuwa hajiamini, atakusikiliza kwa kila jambo. Atakuwa anajutia kitendo kile siku zote. Msamaha wako unakuwa ni uthibitisho kuwa unampenda sana. Sasa anajilaumu kwa nini alikufanyia vile.

2. Ama anaweza tafsiri msamaha wako kuwa ni ujinga, ubushoke, umburula, Kakuweka kiganjani hufurukuti. Hivyo ataendelea kukucheat kwa mikakati ambayo hutamgundua, na hata kukupiga limbwata ili aendelee kukucheat bila wewe Kufanya chochote.

Hivyo, mtazame kwa makini, ni wa aina gani. Inauma sana brother, inaumiza sana moyo, inanyong'onyesha Kaka, mbaya sana. Dah! Sijui ilikuwaje, anyway labda alirogwa kweli. Mungu anaona, akusimamie katika hili.
 
Pole sana nna imani atabadlika maana hawez kuamin kama umemsamehe kama unampenda ni bora ukamsamehe tu ...kwani we hujawahi kumcheat
 
Mkuu, wanawake karibia wote wanajua kuwa wanaume huwa hatusamehi kosa la kucheat.

Hivyo, ukimsamehe huweza tokea moja Kati ya haya mawili.

1.Anabadilika na kuwa mwoga sana kwako, anakuheshimu mpaka unamuonea huruma. Anakuwa hajiamini, atakusikiliza kwa kila jambo. Atakuwa anajutia kitendo kile siku zote. Msamaha wako unakuwa ni uthibitisho kuwa unampenda sana. Sasa anajilaumu kwa nini alikufanyia vile.

2. Ama anaweza tafsiri msamaha wako kuwa ni ujinga, ubushoke, umburula, Kakuweka kiganjani hufurukuti. Hivyo ataendelea kukucheat kwa mikakati ambayo hutamgundua, na hata kukupiga limbwata ili aendelee kukucheat bila wewe Kufanya chochote.

Hivyo, mtazame kwa makini, ni wa aina gani. Inauma sana brother, inaumiza sana moyo, inanyong'onyesha Kaka, mbaya sana. Dah! Sijui ilikuwaje, anyway labda alirogwa kweli. Mungu anaona, akusimamie katika hili.

umeongea jambo la msingi sana. kati ya hayo mawili kuna mojawapo, hvyo awe makini naye sana.
 
Kama ni kweli basi Wewe ni ATM MACHINE umekuwa msaada mkubwa kwake anahofia maisha baada ya kukupoteza hii inamaanisha ni mtumwa wa vitu na tuhela twako.

Na kwa huyo jamaa kafuata chezo au ana vitu vidogo vidogo ambavyo wewe huna katika mahusiano yenu kwa hiyo inawezekana jamaa anamkosha vizuri.

Unaweza kumsamehe ila elewa ni mtumwa tu wa vitu na tuhela twako. Na usipo improve game au vitu vitu vidogo vidogo kwenye mapenzi yenu hawezi kubadilika.

Mbele ya Safari atauza game kwa kujifichaficha na mapenzi ya kujificha yanavyonoga. Weee asikuambie mtu.

Ukimsamehe jaribu kujisahihisha nawewe mkuu umezidiwa.
Kuna vitu najaribu kuvielewa kwake ila haniweki wazi nilichokuwa simpatii...unaweza kuwa sahihi mkuu kabda alihitaji muda zaidi nikawa simpatii e.tc ila sasa hawi muwazi...nilipopunguza hasira nikimuuliza kiupole sana ila akaishia kulia tu na kusema cjamkosea lolote ila anahisi karogwa
 
Mpenzi tu anaanzaje kuku cheat?
Huyo anatumia fursa zake anazoona zinamfaa.
Najua wana ndoa pekee ndo wana cheat kwa sababu wapo chini ya kiapo.
Nimeweka wazi kuwa ni mpnz tu ila ni ambaye kwao wananifahamu na kwetu wanamfaham ila bado cjamchumbia...nilipanga kufanya hlo tukio December this year
 
Ikiwa umegundua hivyo, ni mambo mbili tu waweza fanya.
1- Amua kuendelea kua nae kwa mazoea, lakini ujue kuna jamaa anae mfikisha safari ambayo wewe haumfikishi.
2- Amua kuachana nae kabisa ili uweze okoa nafsi yako.
 
Mkuu, wanawake karibia wote wanajua kuwa wanaume huwa hatusamehi kosa la kucheat.

Hivyo, ukimsamehe huweza tokea moja Kati ya haya mawili.

1.Anabadilika na kuwa mwoga sana kwako, anakuheshimu mpaka unamuonea huruma. Anakuwa hajiamini, atakusikiliza kwa kila jambo. Atakuwa anajutia kitendo kile siku zote. Msamaha wako unakuwa ni uthibitisho kuwa unampenda sana. Sasa anajilaumu kwa nini alikufanyia vile.

2. Ama anaweza tafsiri msamaha wako kuwa ni ujinga, ubushoke, umburula, Kakuweka kiganjani hufurukuti. Hivyo ataendelea kukucheat kwa mikakati ambayo hutamgundua, na hata kukupiga limbwata ili aendelee kukucheat bila wewe Kufanya chochote.

Hivyo, mtazame kwa makini, ni wa aina gani. Inauma sana brother, inaumiza sana moyo, inanyong'onyesha Kaka, mbaya sana. Dah! Sijui ilikuwaje, anyway labda alirogwa kweli. Mungu anaona, akusimamie katika hili.
Nahisi huyu wang yupo kwenye namba 1...maana hata nikimuandikia sms asipojibu anaogopa sana....
 
Hapo utakuta mchepukoni inapigwa show ya kibabe afu wewe unaremba remba tu...
 
Pia sio mke wala mchumba, ni mpnz tu
Haya ndio mambo ninayo yakataa humu.
Yaani hawara, unakuja kuomba ushauri kwa jambo dogo namna hii..
Hivi....
Ikiwa hauja oa ndio unashindwa kufanya maamuzi kama haya, je siku ukioa sindio tutarajie kwamba utapigwa na hawara wa mkeo na kisha utakuja kutuomba ushauri hapa..
 
Andrew+Schulz+Charlamagne+fBuWYB0F5y1m1.jpg

"when a woman cheats, it's pre-meditated" - Andrew Schulz.​
 
Back
Top Bottom