Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
Tatizo lako unanuka mdomoMkuu ukwel ni kwamba mm nna uwezo wa kati, mwajiriwa wa serikali wizara ya Fedha...kumhudumia naweza...na kama kagari kadogo pia ninako anapandaga...
Na huyo jamaa ni mfanyabiashara wa vyakula, ana uwezo wa chini ya mm, ila ni kwamba yeye kanizidi umri kama miaka 7 ila hajaoa!
Na kama mambo yale mengne huwa anakiri kuwa ninaweza....na hata Ex wang wanakubali pia kuwa naweza hapo ndo nachanganyikiwa...
