Nahisi huyu wang yupo kwenye namba 1...maana hata nikimuandikia sms asipojibu anaogopa sana....
Safi, ndiyomaana nikasema mchunguze. Kama ndivyo, msamehe. Na ili uweze kumsamehe fanya yafuatayo.
1. Kikubwa kabisa iaminishe akili yako kuwa kuna kitu si cha kawaida kilimfanya akufanyie hivyo.Mathalani
(a)Huenda uchawi ulitumika. Anafanya haya bila kujitambua. Na haelewi kwanini alifanya hivyo. Wewe ndiye umemzindua kutoka kwenye kifungo cha uchawi na sasa yupo huru.
(b)Kulitumika vitisho kwake ama kwa jaamaa zake, hivyo alifanya hayo kujiokoa ama kuokoa jamaa zake.Hawezi kukuambia haya, utambeza na kuona ni excuse isiyo na maana.
(c)Huyo bwana alikuwa ni ex wake. Akamwambia hana mpango wa kuoa. Akakupenda wewe akaogopa kukuambia kuna jamaa anataka tuendelee na sex bila Ndoa. Akajifanya yupo alone. Then jamaa akamjia na maneno mengi na vitisho pamoja na uongo kuhusu wewe. Akafanikiwa kuendelea nae.
2.Usitake kujua details zote za maisha ya kimapenzi waliyoishi nayo kwa miaka hiyo 3. Kufanya hivyo itakuumiza na hutaweza kumsamehe.
Kwa mfano akikueleza siku alizokuwa na jamaa guest house, utakuta kunasiku ulikuwa unaongea nae Kumbe yupo na jamaa. Hii itakuudhi.
3.Endelea na shuguli zako za kila siku ukiwa katika hali halisi, don't fake your identity, kama una huzuni ioneshe ili aweze kufanyia kazi hali hiyo. Kama vile kukuomba msamaha na kukubembeleza. Itasaidia sana.lakini siyo kwa kukumbushia mgogoro.
4.USIMSIMANGE.,please DON'T DO THAT. Msamehe kikweli na epuka kabisa mjadala huo. Lizikeni swala hilo. Body language inatosha. Hiyo ndiyo itamfanya kujuta kwa dhati na kutorudia. Ukimsimanga atajiona mkosefu, na hatakuwa na raha, hivyo ataamua liwalo na liwe.