



Nadhani msamaha tu hautoshi cha msingi ujue kitu gani kilimfanya akachepuka nadhani ndo la msingiWakuu habari zenu, naomba kuuliza hv kwel mwanamke ambaye amekusaliti na akaomba msamaha kweli anaweza badilika asirudie tena?? Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu unamkamata ndo anaomba msamaha![]()
Cjui kama ananificha au lah...ila huwa nikimuuliza anaishia kulia tu na anasema hajui kwann kanifanyia vile! Anakimbilia kisema kuwa labda alirogwa....namm kwel sielewiNadhani msamaha tu hautoshi cha msingi ujue kitu gani kilimfanya akachepuka nadhani ndo la msingi
Kaomba msamaha ndyo....na hata mpaka sasa bado anaomba msamaha ila nakuwa mgumu...coz 3 years sio mchezo...na mbaya zaidi ni kwamba huyo jamaa ananifahamu vzurKama amekuomba msamaha basi msamehe na kama atarudia tena basi muache
mkuu ni vigumu kuwa hana sababu wanawake ni wasiri sana,anaweza kuwa hata na mtu wake toka kitambo anaogopa kukwambia maana utajua kama alianza mchezo toka zamaniCjui kama ananificha au lah...ila huwa nikimuuliza anaishia kulia tu na anasema hajui kwann kanifanyia vile! Anakimbilia kisema kuwa labda alirogwa....namm kwel sielewi
Mbaya zaidi nilikuwa namiamini saaana na sura yake haifanani kabisa na tukio hili...na ana adabu sanaa. Cjui hata ni nnmkuu ni vigumu kuwa hana sababu wanawake ni wasiri sana,anaweza kuwa hata na mtu wake toka kitambo anaogopa kukwambia maana utajua kama alianza mchezo toka zamani
Ondoa hofu wewe msamehe (Samehe saba mara 70)Kaomba msamaha ndyo....na hata mpaka sasa bado anaomba msamaha ila nakuwa mgumu...coz 3 years sio mchezo...na mbaya zaidi ni kwamba huyo jamaa ananifahamu vzur
Nahisi nahitaji na maombi kwa ujasiri huuOndoa hofu wewe msamehe (Samehe saba mara 70)
Mwambie nitakusamehe ila naomba unieleze kila kitu kuanzia mwanzo mpaka mwisho asikufiche kitu hata kimoja tangu alipoanza kucheat na mbinu zote alizotumia na pamoja na maneno aliyokuwa anaambiwa na huyo jamaa na mipango yake, wewe msikilize kwa umakini historia yote halafu msamehe.
Jikaze tu mkuu ndo uwanaume huo, akifanikiwa kukueleza kila kitu bila kuficha basi ujue anahitaji kweli msamaha. akikuficha ficha achana nae au pia akikupa historia ya uongo muache aende zakeNahisi nahitaji na maombi kwa ujasiri huu
Hilo Jibu huonekana la kijinga sana. Lakini ni kweli kuna watu huroga ili kumpata mtu.Kwa kwel hana jibu maana hata yeye anaonesha kujuta...nilimbana akanambia hajui anahisi alirogwa...
Nimekuelewa mkuuJikaze tu mkuu ndo uwanaume huo, akifanikiwa kukueleza kila kitu bila kuficha basi ujue anahitaji kweli msamaha. akikuficha ficha achana nae au pia akikupa historia ya uongo muache aende zake
AsanteJikaze tu mkuu ndo uwanaume huo, akifanikiwa kukueleza kila kitu bila kuficha basi ujue anahitaji kweli msamaha. akikuficha ficha achana nae au pia akikupa historia ya uongo muache aende zake
Your welcom brotherAsante
pole sana mkuu,pigania unachokipenda jaribu kutafuta suruhu ambayo inaweza kuwa ya kudumu .Mbaya zaidi nilikuwa namiamini saaana na sura yake haifanani kabisa na tukio hili...na ana adabu sanaa. Cjui hata ni nn
Humu JF kuna busara sana...pole sana mkuu,pigania unachokipenda jaribu kutafuta suruhu ambayo inaweza kuwa ya kudumu .
Point muhimu kiongozii nikweli kabisa ni ngumu kwa mwanaume Halisi kusamehe kosa la kucheatHilo Jibu huonekana la kijinga sana. Lakini ni kweli kuna watu huroga ili kumpata mtu.
Inawezekana pia alimchanganyia dawa za kulevya, akampiga picha akiwa uchi huku akifanya mapenzi nae, bila sura ya mwanaume kuonekana, kisha akampa vitisho kuwa asipoendelea nae angetuma picha kwako. Mwanamke kwa mapenzi kwako akaogopa, ikabidi aendelee kutoa unyumba. Hawezi kukuambia haya yote maana utamhoji mazingira ya yeye kufanyiwa hivyo
Hivyo, kugundua kwako huenda ikawa ndio msaada kwa mpenzi wako kuondokana na baradhuli huyo. Yaani badala ya kumhukumu tuangalie mazingira yote.
Hatahivyo, haya nayaongea nikiwa na akili timamu,kwasababu halipo upande wangu. Ningefanyiwa Mimi hivyo ingebidi nishauriwe na mtu mwingine.Mara chache saaana WANAUME HALISI HUSAMEHE KOSA LA KUCHEAT.