Walikua wanakufanyia masinema..[emoji23] [emoji23]Kusema ukwel namm ndo kinachoniumiza kichwa coz walikuwa wanashiriki kila kitu cha mapenz...na wakat huo mm npo wilaya nyingine ila najitahidi sana kumtembelea at least every weekend...halaf mbaya zaidi jamaa linanijua vzur
Sasa.....Kwa kwel hana jibu maana hata yeye anaonesha kujuta...nilimbana akanambia hajui anahisi alirogwa...
Sasa.....Kama amekuomba msamaha basi msamehe na kama atarudia tena basi muache
Mkuu.....Cjui kama ananificha au lah...ila huwa nikimuuliza anaishia kulia tu na anasema hajui kwann kanifanyia vile! Anakimbilia kisema kuwa labda alirogwa....namm kwel sielewi
Yaani kinacho kutafuna na vile alivyokua akichapwa na dushe proper for three good years....[emoji22] [emoji22]Kaomba msamaha ndyo....na hata mpaka sasa bado anaomba msamaha ila nakuwa mgumu...coz 3 years sio mchezo...na mbaya zaidi ni kwamba huyo jamaa ananifahamu vzur
Mimi mwenyewe nimeisoma tena hiyo post yangu hata sijaielewa nilikuwa namaanisha nn[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Sasa.....
Unamshauri amsamehe, alafu asubirie arudie tena [emoji45] [emoji45]
Hapo sijakuepewa mkuu...
Ha ha ha ha dahHapo utakuta mchepukoni inapigwa show ya kibabe afu wewe unaremba remba tu...
Safi, ndiyomaana nikasema mchunguze. Kama ndivyo, msamehe. Na ili uweze kumsamehe fanya yafuatayo.Nahisi huyu wang yupo kwenye namba 1...maana hata nikimuandikia sms asipojibu anaogopa sana....
Mkuu kwani hio papuchi imeondoka? Wewe hujawahi kumcheat? [emoji15]Wakuu habari zenu, naomba kuuliza hv kwel mwanamke ambaye amekusaliti na akaomba msamaha kweli anaweza badilika asirudie tena?? Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu unamkamata ndo anaomba msamaha[emoji30][emoji30][emoji30]
Hahahaaaaa, dah ! Hii inaonesha una hasira. No, msamaha hapo!!!!Mimi mwenyewe nimeisoma tena hiyo post yangu hata sijaielewa nilikuwa namaanisha nn[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Thnx mkuu....i will try kama moyo wang utaridhia kumsamehw ntafanya hvSafi, ndiyomaana nikasema mchunguze. Kama ndivyo, msamehe. Na ili uweze kumsamehe fanya yafuatayo.
1. Kikubwa kabisa iaminishe akili yako kuwa kuna kitu si cha kawaida kilimfanya akufanyie hivyo.Mathalani
(a)Huenda uchawi ulitumika. Anafanya haya bila kujitambua. Na haelewi kwanini alifanya hivyo. Wewe ndiye umemzindua kutoka kwenye kifungo cha uchawi na sasa yupo huru.
(b)Kulitumika vitisho kwake ama kwa jaamaa zake, hivyo alifanya hayo kujiokoa ama kuokoa jamaa zake.Hawezi kukuambia haya, utambeza na kuona ni excuse isiyo na maana.
(c)Huyo bwana alikuwa ni ex wake. Akamwambia hana mpango wa kuoa. Akakupenda wewe akaogopa kukuambia kuna jamaa anataka tuendelee na sex bila Ndoa. Akajifanya yupo alone. Then jamaa akamjia na maneno mengi na vitisho pamoja na uongo kuhusu wewe. Akafanikiwa kuendelea nae.
2.Usitake kujua details zote za maisha ya kimapenzi waliyoishi nayo kwa miaka hiyo 3. Kufanya hivyo itakuumiza na hutaweza kumsamehe.
Kwa mfano akikueleza siku alizokuwa na jamaa guest house, utakuta kunasiku ulikuwa unaongea nae Kumbe yupo na jamaa. Hii itakuudhi.
3.Endelea na shuguli zako za kila siku ukiwa katika hali halisi, don't fake your identity, kama una huzuni ioneshe ili aweze kufanyia kazi hali hiyo. Kama vile kukuomba msamaha na kukubembeleza. Itasaidia sana.lakini siyo kwa kukumbushia mgogoro.
4.USIMSIMANGE.,please DON'T DO THAT. Msamehe kikweli na epuka kabisa mjadala huo. Lizikeni swala hilo. Body language inatosha. Hiyo ndiyo itamfanya kujuta kwa dhati na kutorudia. Ukimsimanga atajiona mkosefu, na hatakuwa na raha, hivyo ataamua liwalo na liwe.
Labda ndo uboya nilionao...nlikuwa nmemshiba sana....nna mazoea na girls wengne kirafiki ila cjawah mcheat yule mwanamkeMkuu kwani hio papuchi imeondoka? Wewe hujawahi kumcheat? [emoji15]
Kula mzigo huo acha kulalama tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaa, dah ! Hii inaonesha una hasira. No, msamaha hapo!!!!
Ndivyo, software zetu zilivyo. Mwanaume na mwanamke ni Tofauti kwenye hisia za kimapenzi.Fuata vile moyo wako unataka..Inner instinct yako tu. Ushauri wowote ambao si chaguo kutoka moyoni,always ni majuto mbeleni.
Halafu,sijawahi kuelewa..kwanini mwanaume aki-cheat,mwanamke ana'takiwa' kuwa mwepesi wa@ kusamehe...ila mwanamke aki-cheat inakuwa kama ni the biggest mistake in the world yaani hakunaga...why??