Ndio maana wanawake wengi tutakuwa kuni!! Jamani bora angekwenda kumuacha kwenye mlango wa kanisa au popote tu! Ni uchungu ulioje??? Yaani tunaweza kuwa wema na wenye huruma, ila at the same tym, sisi ni watu wabaya sana! Rip malaika mtoto mzuri!!
halafu mdada mwenyewe aliyezika mtoto ni m cute...Ndio maana wanawake wengi tutakuwa kuni!! Jamani bora angekwenda kumuacha kwenye mlango wa kanisa au popote tu! Ni uchungu ulioje??? Yaani tunaweza kuwa wema na wenye huruma, ila at the same tym, sisi ni watu wabaya sana! Rip malaika mtoto mzuri!!
Mh another silly season niacheni kidogo maana niliumia yule mtoto kuunguzwa leo tena kamzika akiwa mzima oh God have mercy on that little baby may dear.hapa itakuta mwanaume amekataa hiyo mimba kamtelekeza huyo dada sasa anaona that the best solution .nawashangaa sana wanawake mnaomlaumu huyu dada huyo mimba alijifanya mwenyewe ,ukiona mwanamke kafanya ukatili kama huu there is man behind this.prove me wrong wanaume wanajiweka safe side sababu hawabebi mtumbo lakini angalieni sababu ya huyo dada mtajua kama sio a man behind.mimi sitetei dhambi.
Ndio maana wanawake wengi tutakuwa kuni!! Jamani bora angekwenda kumuacha kwenye mlango wa kanisa au popote tu! Ni uchungu ulioje??? Yaani tunaweza kuwa wema na wenye huruma, ila at the same tym, sisi ni watu wabaya sana! Rip malaika mtoto mzuri!!
despite all that my dear...hata kama alitelekezwa au kuumizwa na muhusika, sio justifications kwa uuaji alioufanya,kwa maana huo ni uuaji tena wa kikatili...wangapi wanatafuta waganga hadi huko makaburini wanaenda piga ramli na matambiko??wengapi wanakesha wakimlilia Mungu wao japo awabariki awape hata kamalaika ka kuwapa majji pindi wakiwa wazee???yeye kabarikiwa, kajifungua salama, eti labda kwasababu alitendwa ndo akaamua kuua kichanga???hapana kwa kweli, there cant be such a justification...Mungu tu amsamehe, lakini walioumia zaidi kwa mkasa huu Mungu awape faraja ya moyo...Mh another silly season niacheni kidogo maana niliumia yule mtoto kuunguzwa leo tena kamzika akiwa mzima oh God have mercy on that little baby may dear.hapa itakuta mwanaume amekataa hiyo mimba kamtelekeza huyo dada sasa anaona that the best solution .nawashangaa sana wanawake mnaomlaumu huyu dada huyo mimba alijifanya mwenyewe ,ukiona mwanamke kafanya ukatili kama huu there is man behind this.prove me wrong wanaume wanajiweka safe side sababu hawabebi mtumbo lakini angalieni sababu ya huyo dada mtajua kama sio a man behind.mimi sitetei dhambi.