Mwanamke ajifungua mtoto makaburini na kumzika akiwa hai!

Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,700
Points
1,195
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,700 1,195
Tukio hilo limetokea katika mji wa Songea muda mfupi uliopita ambapo Mwanamke mmoja amejifungua mtoto akiwa makaburini na kufanikiwa kujifungua salama lakini baada ya kujifungua mtoto huyo akiwa hai alichimba kaburi na kumzika mtoto huyo na kuweka alama ya msalaba juu.

kwa habari zaidi fuatilia taarifa za habari za ITV.

source: ITV
 
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
8,389
Points
1,250
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
8,389 1,250
Ndio maana wanawake wengi tutakuwa kuni!! Jamani bora angekwenda kumuacha kwenye mlango wa kanisa au popote tu! Ni uchungu ulioje??? Yaani tunaweza kuwa wema na wenye huruma, ila at the same tym, sisi ni watu wabaya sana! Rip malaika mtoto mzuri!!
 
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
2,340
Points
2,000
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
2,340 2,000
Siku zote nitamkumbuka mama yangu mpendwa marehemu SOPHIA BINT SEIF NGULANGWA (Mungu amrehemu huko alipo) kwa kunizaa na kunilea kwa shida na raha, kama angenizaa na kunizika kama huyo mwanaizaya alivyofanya, je leo ningekuwepo humu JF nikijimwayamwaya?
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,700
Points
1,195
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,700 1,195
Ndio maana wanawake wengi tutakuwa kuni!! Jamani bora angekwenda kumuacha kwenye mlango wa kanisa au popote tu! Ni uchungu ulioje??? Yaani tunaweza kuwa wema na wenye huruma, ila at the same tym, sisi ni watu wabaya sana! Rip malaika mtoto mzuri!!
Kweli mwanamke ana roho mbili ya huruma na ukatili lakini naona ya ukatili ina nguvu sana.it's so sad.
 
andishile

andishile

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,429
Points
1,225
andishile

andishile

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,429 1,225
Naiona hiyo habari itv muda huu,huyu mwanamke msichana hafai kabisa ktk jamii,wakati wanawake wenzie watoto ni faraja yeye kwake ni karaha!ahukumiwe sawa na matendo yake!
 
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
7,464
Points
1,250
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
7,464 1,250
Mh another silly season niacheni kidogo maana niliumia yule mtoto kuunguzwa leo tena kamzika akiwa mzima oh God have mercy on that little baby may dear.hapa itakuta mwanaume amekataa hiyo mimba kamtelekeza huyo dada sasa anaona that the best solution .nawashangaa sana wanawake mnaomlaumu huyu dada huyo mimba alijifanya mwenyewe ,ukiona mwanamke kafanya ukatili kama huu there is man behind this.prove me wrong wanaume wanajiweka safe side sababu hawabebi mtumbo lakini angalieni sababu ya huyo dada mtajua kama sio a man behind.mimi sitetei dhambi.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,539
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,539 2,000
Ndio maana wanawake wengi tutakuwa kuni!! Jamani bora angekwenda kumuacha kwenye mlango wa kanisa au popote tu! Ni uchungu ulioje??? Yaani tunaweza kuwa wema na wenye huruma, ila at the same tym, sisi ni watu wabaya sana! Rip malaika mtoto mzuri!!
halafu mdada mwenyewe aliyezika mtoto ni m cute...
kweli motoni kutakuwa na kuni zilizo umbwa zikaumbika
 
Asnam

Asnam

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Messages
4,260
Points
1,225
Asnam

Asnam

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2012
4,260 1,225
wanaume wengi wanapenda tu kuchomekea na kukatiza mitaani kunasa watoto wa watu lakini linapokuja suala la kutake responsibility ni watata sana kumwaga mbegu wanaona sifa ila kulea sasa ndo hayo yalomkuta binti wa watu.
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Points
1,225
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 1,225
Binadamu tuna roho ngumu sana, aliwezaje kubeba mimba miezi tisa halafu anaua mwanae? Ni dhambi sana ....
 
R

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
480
Points
195
R

royna

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
480 195
chanzo cha mambo hayo yote ni wanaume wazinzi wanofrustrate wanawake kwa kulala nao na kuwatumia kama lami barabarani, then wanawasababishia ukichaa, ili walaumiwe wananwake! Huyu mama habehave kwenye normal mind, yuko excessivelly streeses exceeding to schezophremia!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,923
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,923 2,000
Mh another silly season niacheni kidogo maana niliumia yule mtoto kuunguzwa leo tena kamzika akiwa mzima oh God have mercy on that little baby may dear.hapa itakuta mwanaume amekataa hiyo mimba kamtelekeza huyo dada sasa anaona that the best solution .nawashangaa sana wanawake mnaomlaumu huyu dada huyo mimba alijifanya mwenyewe ,ukiona mwanamke kafanya ukatili kama huu there is man behind this.prove me wrong wanaume wanajiweka safe side sababu hawabebi mtumbo lakini angalieni sababu ya huyo dada mtajua kama sio a man behind.mimi sitetei dhambi.
Unakumbuka maneno yangu ya wakati ule "usimwache mwanamke mchawi akaishi...", huyu mwanamama wala hakuwa mchawi, ila ujumbe uliopo katika hiyo statement umebeba na kuficha roho ya ukatili ambayo mwanamke huweza kuwa nayo. Sasa try to imagine huyu mama kalea mtoto miezi 9 akiwa na wazo fiche la kuja kumuua mwanae pindi tu akijifungua.
Uwezo mliopewa wa kusupport life(kiumbe kufinyangwa matumboni mwenu) ndio kitu kinachotoa kiburi kwenu na kuona hata uhai mwaweza kuuchukua kirahisi tu...
 
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,121
Points
1,250
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,121 1,250
Ndio maana wanawake wengi tutakuwa kuni!! Jamani bora angekwenda kumuacha kwenye mlango wa kanisa au popote tu! Ni uchungu ulioje??? Yaani tunaweza kuwa wema na wenye huruma, ila at the same tym, sisi ni watu wabaya sana! Rip malaika mtoto mzuri!!
Mara nyingi mimi huwa nasema afadhali roho mbaya/ukatili wa mwanaume na sio wa mwanamke. Maana ukikuta ukatili wa Mwanamke hutakaa uamini ni yeye ndo ametenda hayo....................Pole mtoto malaika wa watu
 
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Messages
2,280
Points
0
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2012
2,280 0
the mystery of a woman!! capable of great love, compassion and understanding; yet can commit unspeakable cruelty and malice. nikiumwa kidogo mama anaonesha concern na kunishauri niende kwa doctor lakini wengine wanazika wanao wachanga bila huruma. nashindwa kuelewa such extremities kwa jinsia ya XX
 
F

Frankness

Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
66
Points
0
F

Frankness

Member
Joined Aug 24, 2011
66 0
Mh another silly season niacheni kidogo maana niliumia yule mtoto kuunguzwa leo tena kamzika akiwa mzima oh God have mercy on that little baby may dear.hapa itakuta mwanaume amekataa hiyo mimba kamtelekeza huyo dada sasa anaona that the best solution .nawashangaa sana wanawake mnaomlaumu huyu dada huyo mimba alijifanya mwenyewe ,ukiona mwanamke kafanya ukatili kama huu there is man behind this.prove me wrong wanaume wanajiweka safe side sababu hawabebi mtumbo lakini angalieni sababu ya huyo dada mtajua kama sio a man behind.mimi sitetei dhambi.
despite all that my dear...hata kama alitelekezwa au kuumizwa na muhusika, sio justifications kwa uuaji alioufanya,kwa maana huo ni uuaji tena wa kikatili...wangapi wanatafuta waganga hadi huko makaburini wanaenda piga ramli na matambiko??wengapi wanakesha wakimlilia Mungu wao japo awabariki awape hata kamalaika ka kuwapa majji pindi wakiwa wazee???yeye kabarikiwa, kajifungua salama, eti labda kwasababu alitendwa ndo akaamua kuua kichanga???hapana kwa kweli, there cant be such a justification...Mungu tu amsamehe, lakini walioumia zaidi kwa mkasa huu Mungu awape faraja ya moyo...
 
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Aisay kuna binadamu utadhani hawajatoka kwa Adam.

BTW mwanaume aliye mzalisha huyo mtoto yuko wapi? Mpaa mtoto wake anazikwa.

Mhhhm Nashukuru Mungu wife wangu akiwa anazaa watoto wangu huwa niko naye pale pale, naona vipi anazaa...ndo mana nawapenda sana watoto zangu, na mke wangu.

Wanaume wa JF: wake zenu time wanazaa ,jaribu sana muwe nao pale....muone vipi na mama zenu vipi walipata tabu, time wanawazaa.

Lazima mfahamu hakuna kitu kama mama, na pale pale mtazidi kuwa na imani na wake zenu...ndo mana mimi, kila nikitaka kuongeza mke wa pili nainua hand brake kwanza kutazama wife alivyo pata tabu, wakati anawazaa watoto zangu :poa
 
F

Frankness

Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
66
Points
0
F

Frankness

Member
Joined Aug 24, 2011
66 0
haki nilivyoiona hiyo incident kwa ITV nilishindwa kuamini....hivi kweli unapata bahati ya kushika mimb, tena miezi tisa unailea na kujifungua salama mtoto mzima na mwenye afya, halafu unakaua kachanga ka watu????seriussly do u deserve any mercy????sidhani...wamama na wadada wanatafuta watoto kwa mbinu zote, wewe umebarikiwa, yakheri ungemtelekeza tu juu ya kaburi, angechukuliwa na mama ambaye angempenda na kumjali, lakini kukazika hai katoto ambako hakana hatia jamani???ubinadamu wetu unaenda wapi????? Mungu, kwasababu ni wewe utabaki kuwa wewe, laiti mimi ningekuwa wewe, wale wote wenye kufanya uuaji kama huu, ingewanyima watoto na wale wanaolilia mtoto ningewapa kwa upendo wote.....from the heart, hiki kitendo kimeniuma kiukweli....
 
Forum statistics

Threads 1,284,537
Members 494,169
Posts 30,831,015
Top