warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
Aaaaah nyokolist weweKama sio maajabu na wewe toa triplet tuone..
Aaaaah nyokolist weweKama sio maajabu na wewe toa triplet tuone..
Hujanikwaza warumi mpendwa, ila nimejifunza kitu kuwa kumbe maneno mengine sisi huku Upareni tunayachukulia serious na hali ni maneno ambayo yanaweza kutumika tu kawaida, nimejifunza kitu, unajua kila siku tunajifunza warumiSamahani, but huwa natania tu, usinichukulie serious, pole sana wangu na samahani kama nimekukwaza
Huyu Mange kakuchukulia bwanako, sio bureKanishtua mbwa huyu, nilikua mange kakamatwa mfyuuu
Kawaida mbona
PoleDah! Nimelamba na matusi juu