Hii nayo kali jamani!!!!!!
Jiwe limezaliwa siku ya eid!, hebu tuwekee photo bana tuone kama halin yale mmaandishi yetu.

filipo siamini kama ni yakweli
..Wakuu naona mnamshambulia Filipo. Ni kweli hiyo habari hata mimi nimeisikia RFA katika kipindi cha matukio. Ofcourse nami nilijiuliza maswali mengi licha ya mume wa huyo mwanamke kuhojiwa na mtendaji wa kijiji anachotoka. Nilichotegemea angalau kutufanya tuamini basi wangemhoji hata muuguzi wa kituo cha ambako alikuwa akihudhuria kliniki na baadae kwenda kujifunguli hapo. Tukio limetokea wilaya ya Bunda mkoani Mara..Sasa sijui ni sanaa ya aina gani iliyopelekea huyo mama kuzaa jiwe!!Hii habari ni uzushi tuwekee jina la huyo Mwanamke au picha yake pamoja na hilo jiwe
Baada ya kubeba mimba kwa miezi 11, hatimae jana, mwanamke huyo mkazi wa mkoani Mara amejifungua jiwe. Anasema tumbo lilikuwa likimuuma sana na alifurahi kupata uchungu akitegemea kupata mtoto wake wa kwanza. Mwenyekiti wa kijiji anachotoka mwanamke huyo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema ni kweli limetokea na mama huyo amejifungua jiwe la uzito wa robo kilo!
Source: Matukio - RFA.
Kweli dunia imekaribia ukingoni....!!?

..Wakuu naona mnamshambulia Filipo. Ni kweli hiyo habari hata mimi nimeisikia RFA katika kipindi cha matukio. Ofcourse nami nilijiuliza maswali mengi licha ya mume wa huyo mwanamke kuhojiwa na mtendaji wa kijiji anachotoka. Nilichotegemea angalau kutufanya tuamini basi wangemhoji hata muuguzi wa kituo cha ambako alikuwa akihudhuria kliniki na baadae kwenda kujifunguli hapo. Tukio limetokea wilaya ya Bunda mkoani Mara..Sasa sijui ni sanaa ya aina gani iliyopelekea huyo mama kuzaa jiwe!!
Wapi huko?HUjui pia kuwa kuna science ya asili...nenda mikoa fulani ukimpa mtoto wa watu mimba na ukagoma wanakuhamishia wewe...tembea uone

Mimi sipingi sana kwani nishawahi kumuona mtoto wa hivyo kwenye TV sio hapa TZ ila hiyo channel siikumbuki mana ni siku nyingi niliona hiyo story mwaka 2007. Na madoctor walielezea jinsi inavyotokea na hicho kiumbe hakiwi hai wala hakiendelei kukua na kinaitwa 'Stone Baby'.

Kuna Mama alipata ujauzito kufikia miezi kadhaa ujauzito haukuendelea kukua na baada ya hapo hakupata tena mimba. Ndio kuja kufanyiwa upasuaji na kumtoa huyo anayeitwa stone baby. Yeye alikuwa na umbo la binadamu unakiona kichwa na mwili ila viungo havionekani vizuri kwa kuwa hakuendelea kukua na amekuwa kitu kigumu kama jiwe.

Kutokana na Dr. aliyemfanyia upasuaji na akimuonyesha huyo mtoto alisema ni aina fulani ya fibre, na kile kiumbe kinaweza kukaa tumboni muda mrefu bila madhara kwa mama.

Hilo jiwe halijaandikwa Yasin?? manake bongo kila kukicha vituko. Ilikuwa kondoo kaandikwa juzuu sasa jiwe lazaliwa siku ya idd.hahahaaaaa