Mwanamke aingie katika maajabu ya dunia

Mwanamke aingie katika maajabu ya dunia

++
Bado najiuliza ni kwa nini watu wanasafiri mbali sana na kupoteza rasilimali nyingi ikiwemo fedha,muda,na mengineyo kutafuta maajabu ya dunia,,huku wakiacha ajabu la mwanamke?
++
Sababu hasa ambayo inaweza kumuingiza mwanamke kwenye rekodi ya dunia ni kama ifuatavyo;
++
NDIYE KIUMBE ASIYEELEWEKA DUNIA NZIMA.
Pamoja na maendeleo ya kisayansi,na kisaikolojia bado akili ya mwanamke haieleweki ipo ktk msimamo upi.Mtaalamu mmoja wa mambo ya wanawake aliwahi kuandika kuwa "Mwanamke ndiye kiumbe wa ajabu asiyeweza kueleweka dunia nzima na hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakayedai kwamba ameweza kumwelewa mwanamke kikamilifu"
++
NDIYE KIUMBE ANAYESHINDANA MWENYEWE ASIWE KAMA ALIVYO
Ktk viumbe wote kama wanaume,simba,sungura,miti,twiga n.k Ni mwanamke ambaye kila uchao anapambana ndani na nje yake Wanaume wasimwelewe.Mf.akitaka kuishi peke yake bado anataka mume,akililia pesa utasikia anataka real love,Ukimpa real love utasikia pesa ndo kila kitu,Ukimpa penzi la kumridhisha bado hilo halitamfanya aache kusaliti uhusiano kwa madai ya kubadilisha radha.
Tazama michango ya mawazo yao humu jamvini,,utaona mtu yule yule anataka pesa real love sio lolote,,ukisema wanatamaa utaona haoo! Wanataka real love.
++
NDIYE KIUMBE ASIYEMPENDA MWANAMKE MWENZAKE.
Najua nitatofautiana na wengi ktk hili.Ila ukitaka kuthibitisha hili,ingia ktk siasa,ktk ndoa,ktk mafanikio.
Asilimia kubwa ya mahusiano ya wanawake kwa wanawake huisha haraka pale siri zinapowekwa hadharani.Hata kama mwanamke huyu atapendeza kwa mavazi,akawa na mume mwema,usafiri bora na uhakika wa lishe atakaemchukia wa kwanza ni mwanamke mwenzake na kama kuna urafiki ni wa kinafiki.Tofauti ilivyo ktk mahusiano ya wanaume kwa wanaume au viumbe wengine.
++
Bado najiuliza hayo maajab mengine yanasifa zipi kuzidi hili la mwanamke tunayeishi nae kila wakati Lakini ufumbuzi wa moja kwa moja hakuna?
++

May beeee..........
 
hongeza na hivi,hawajielewi,wanapenda vya bure,utegemezi huku uhuru na chaguo lao wanalihitaji
 
Lol ukumbuke kua ata hayo mawazo yako yamejengwa na sisi wanawake......tulokuzaa na kukulea maana mlezi wa jamii ni mwanamke...,,so hili pia ni mojawapo kati ya ajabu ambalo kwa namna moja au nyingine hukulifaham..,,the way u think n the way u grow up comes from how ur mama(women in general) grows u up......!!

++
Marnah
Ni kweli,,ndiye kiumbe anaelea mtoto kwa muda mrefu Usisahau kutupa watoto.
++
 
Last edited by a moderator:
Wanawake ni mashetani wa 2 baada ya akina LUCIFER.

sawa kaka ila mwanamke huyo huyo alikubeba tumboni wiki 40. siku ambazo hata kujua kama atazaa kitu gani hakujua. usiku na mchana alikubeba ukaelemea nyonga yake na hata asipate wa kumsaidia ili apumzike. kila alipokwenda alikupeleka akakupandisha hata ndege, basi nk bila kukulipia nauli, akasafiri na wewe hata nje ya nchi bila kuulizwa paspoti yako wewe iko wapi ama wewe ni nani.

MWANAMKE HUYO HUYO ALICHANIKA MSAMBA KWAAJILI YAKO, AKAVUMILIA UCHUNGU AMBAO WEWE HUWEZ KUUVUMILIA HATA YESU ARUDI. TENA ALIVUMILIA PASI KUJUA ATAPATA MTOTO AMA KIUMBE TU............. TENA KWA MOYO WA HURUMA HUKU JASHO ZIKIMTOKA NA UCHUNGU MKUBWA ANAKUBALI KUBABAJUA ZAAID AKUSUKUME USIUMIE..............AKIJUA NDIO FURAHA YA MWANAUME MWENZIO.

mwanamke huyo huyo akakunyonyesha miaka m3 bila kuchoka na ukaona ziwa lake ni tamu sana na ulivyokuwa punguani hata leo bado una ng'ang'ania kulinyonya japo una meno 32.

LEO HII HAINEKANI KAMA HAYA YOTE YANATOSHA KUMFANYA ATHAMINIWE BALI ANATUKANWA NA KUITWA SHETANI BAADA YA LUCIFER???

FYI hebu jiulize ni jinsia gani leo hii ukiitoa duniani yote kwa pamoja life will perpetuate?? ukipata jibu basi rudi utuombe msamaha wanawake wote hapa jamvini.
 
Nafikiri nyie wanaume mnaoona wanawake ni mashetani na wabaya mngetuambia hivi hao wanaume wenzenu wanaojibadili ili wawe kama sisi wanawake nao ni akina nani??

kama ukiona mwanamke anakuboa basi tafuta mwanaume mwenzako toka nae mbona wako wengi tuuuuuuuuuuu tena mpaka wanatuchosha manake tunabanana nao kwa wale wanaume wachache wenye sifa za kiume??
 
Kumbeba mwanadamu mwenzio miezi tisa, kumnyonyesha mtoto pamoja na baba yake (hata kwa wanyama na mimea haipo), kulea na kutunza familia kwa moyo wote, kila siku bila kuchoka

u'r damn right.!!!.... Wanawake ni maajabu ya dunia.
 
Nilijua tu mtaandamana maana hamtaki kujikubali kuwa nyie ni watu wa ajabu sana kwanini hamnaga huruma kwa viumbe tofauti na watoto wenu.
 
sawa kaka ila mwanamke huyo huyo alikubeba tumboni wiki 40. siku ambazo hata kujua kama atazaa kitu gani hakujua. usiku na mchana alikubeba ukaelemea nyonga yake na hata asipate wa kumsaidia ili apumzike. kila alipokwenda alikupeleka akakupandisha hata ndege, basi nk bila kukulipia nauli, akasafiri na wewe hata nje ya nchi bila kuulizwa paspoti yako wewe iko wapi ama wewe ni nani.

MWANAMKE HUYO HUYO ALICHANIKA MSAMBA KWAAJILI YAKO, AKAVUMILIA UCHUNGU AMBAO WEWE HUWEZ KUUVUMILIA HATA YESU ARUDI. TENA ALIVUMILIA PASI KUJUA ATAPATA MTOTO AMA KIUMBE TU............. TENA KWA MOYO WA HURUMA HUKU JASHO ZIKIMTOKA NA UCHUNGU MKUBWA ANAKUBALI KUBABAJUA ZAAID AKUSUKUME USIUMIE..............AKIJUA NDIO FURAHA YA MWANAUME MWENZIO.

mwanamke huyo huyo akakunyonyesha miaka m3 bila kuchoka na ukaona ziwa lake ni tamu sana na ulivyokuwa punguani hata leo bado una ng'ang'ania kulinyonya japo una meno 32.

LEO HII HAINEKANI KAMA HAYA YOTE YANATOSHA KUMFANYA ATHAMINIWE BALI ANATUKANWA NA KUITWA SHETANI BAADA YA LUCIFER???

FYI hebu jiulize ni jinsia gani leo hii ukiitoa duniani yote kwa pamoja life will perpetuate?? ukipata jibu basi rudi utuombe msamaha wanawake wote hapa jamvini.
Mwanamke huyu ulipokua mgongoni mwanaume mwenzio anampiga na alikuzuia wewe usipate madhara toka kwa mwanaume mwenzio(baba)

Mwanamke huyu alitelekezwa ukiwa mdogo na alivumilia shida zote na kukulea mpaka leo unajiita handsome. Pamoja na haya yote huyu mwanamke hapati faida yoyote ya kukuzaa sana sana maudhi tu manake nawewe umezaa unampelekea wanao akalee ili wewe uendelee kutesa.
 
Ni kweli mkuu, maana mwanamke anateswa na kunyanyaswa lkn bado yupo tu na tena baada ya kupata kipigo cha mwizi bado anakuandalia chakula mwanaume huku analia na kuugulia.
Ama kweli haya maajabu
 
Kuwa ajabu hakuna tafsiri ya kitu kibaya.Bali ni kuwatambua "uniqueness" yao na viumbe wengine.
Au usemaje Mwl gfsonwin na Ablessed ?
++
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu, maana mwanamke anateswa na kunyanyaswa lkn bado yupo tu na tena baada ya kupata kipigo cha mwizi bado anakuandalia chakula mwanaume huku analia na kuugulia.
Ama kweli haya maajabu

++
Kiumbe mvumilivu
++
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom