Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Mkuu hii nayo ni uniqueness , wewe hushangai anavyonyanyaswa na kiumbe mwanaume lkn hatoki hata mumshauri vipi bwana.++
Kiumbe mvumilivu
++

Aongeze anafua nguo na kuziandaa vizuri wewe ukishapendeza huyoooo nyumba ndogo , tena hata kama anajua hasemi kitu. Cha ajabu ukifika huko unaanza kumponda mkeo mbele ya hicho kimada na kumuona mjinga.ongezea anafanya kazi kwa bidii halafu mwanaume anachukua kupelekea mwanamke mwingine yeye yupo tuu ;
sawa kaka ila mwanamke huyo huyo alikubeba tumboni wiki 40. siku ambazo hata kujua kama atazaa kitu gani hakujua. usiku na mchana alikubeba ukaelemea nyonga yake na hata asipate wa kumsaidia ili apumzike. kila alipokwenda alikupeleka akakupandisha hata ndege, basi nk bila kukulipia nauli, akasafiri na wewe hata nje ya nchi bila kuulizwa paspoti yako wewe iko wapi ama wewe ni nani.
MWANAMKE HUYO HUYO ALICHANIKA MSAMBA KWAAJILI YAKO, AKAVUMILIA UCHUNGU AMBAO WEWE HUWEZ KUUVUMILIA HATA YESU ARUDI. TENA ALIVUMILIA PASI KUJUA ATAPATA MTOTO AMA KIUMBE TU............. TENA KWA MOYO WA HURUMA HUKU JASHO ZIKIMTOKA NA UCHUNGU MKUBWA ANAKUBALI KUBABAJUA ZAAID AKUSUKUME USIUMIE..............AKIJUA NDIO FURAHA YA MWANAUME MWENZIO.
mwanamke huyo huyo akakunyonyesha miaka m3 bila kuchoka na ukaona ziwa lake ni tamu sana na ulivyokuwa punguani hata leo bado una ng'ang'ania kulinyonya japo una meno 32.
LEO HII HAINEKANI KAMA HAYA YOTE YANATOSHA KUMFANYA ATHAMINIWE BALI ANATUKANWA NA KUITWA SHETANI BAADA YA LUCIFER???
FYI hebu jiulize ni jinsia gani leo hii ukiitoa duniani yote kwa pamoja life will perpetuate?? ukipata jibu basi rudi utuombe msamaha wanawake wote hapa jamvini.
Ablessed wanasahau kwamba hata mawazo mazuri wanayoyatoa kwenye vikao maofisini mwao huwa wanadesaga kwa wake zao.Aongeze anafua nguo na kuziandaa vizuri wewe ukishapendeza huyoooo nyumba ndogo , tena hata kama anajua hasemi kitu. Cha ajabu ukifika huko unaanza kumponda mkeo mbele ya hicho kimada na kumuona mjinga.
Ni kweli kabisa si unajua huwa wanasema sometime kua eeh yule baba kavaa vibaya sijui mkewe alikua wapi wakati anatoka. Huwezi kusikia mwanamke kavaa vibaya halafu wanauliza sijui mumewe alikua wapi wakati anatoka. Tena kuna msemo kua ktk kila mafanikio aliyonayo mwanaume basi ujue kuna mwanamke nyuma yake. Ni kweli mwanamke yuko juu sana hata bible imeprove hiliAblessed wanasahau kwamba hata mawazo mazuri wanayoyatoa kwenye vikao maofisini mwao huwa wanadesaga kwa wake zao.
Wanawake ni mashetani wa 2 baada ya akina LUCIFER.
Wanawake ni mashetani wa 2 baada ya akina LUCIFER.
sawa kaka ila mwanamke huyo huyo alikubeba tumboni wiki 40. siku ambazo hata kujua kama atazaa kitu gani hakujua. usiku na mchana alikubeba ukaelemea nyonga yake na hata asipate wa kumsaidia ili apumzike. kila alipokwenda alikupeleka akakupandisha hata ndege, basi nk bila kukulipia nauli, akasafiri na wewe hata nje ya nchi bila kuulizwa paspoti yako wewe iko wapi ama wewe ni nani.
MWANAMKE HUYO HUYO ALICHANIKA MSAMBA KWAAJILI YAKO, AKAVUMILIA UCHUNGU AMBAO WEWE HUWEZ KUUVUMILIA HATA YESU ARUDI. TENA ALIVUMILIA PASI KUJUA ATAPATA MTOTO AMA KIUMBE TU............. TENA KWA MOYO WA HURUMA HUKU JASHO ZIKIMTOKA NA UCHUNGU MKUBWA ANAKUBALI KUBABAJUA ZAAID AKUSUKUME USIUMIE..............AKIJUA NDIO FURAHA YA MWANAUME MWENZIO.
mwanamke huyo huyo akakunyonyesha miaka m3 bila kuchoka na ukaona ziwa lake ni tamu sana na ulivyokuwa punguani hata leo bado una ng'ang'ania kulinyonya japo una meno 32.
LEO HII HAINEKANI KAMA HAYA YOTE YANATOSHA KUMFANYA ATHAMINIWE BALI ANATUKANWA NA KUITWA SHETANI BAADA YA LUCIFER???
FYI hebu jiulize ni jinsia gani leo hii ukiitoa duniani yote kwa pamoja life will perpetuate?? ukipata jibu basi rudi utuombe msamaha wanawake wote hapa jamvini.
nani kasema kuna ubaya wangu!!
ishu ni kwamba yupo mtu kasema wanawake ni 2nd from lucifer!!!!!!! je wewe waamini haya??