Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
++
Bado najiuliza ni kwa nini watu wanasafiri mbali sana na kupoteza rasilimali nyingi ikiwemo fedha,muda,na mengineyo kutafuta maajabu ya dunia,,huku wakiacha ajabu la mwanamke?
++
Sababu hasa ambayo inaweza kumuingiza mwanamke kwenye rekodi ya dunia ni kama ifuatavyo;
++
NDIYE KIUMBE ASIYEELEWEKA DUNIA NZIMA.
Pamoja na maendeleo ya kisayansi,na kisaikolojia bado akili ya mwanamke haieleweki ipo ktk msimamo upi.Mtaalamu mmoja wa mambo ya wanawake aliwahi kuandika kuwa "Mwanamke ndiye kiumbe wa ajabu asiyeweza kueleweka dunia nzima na hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakayedai kwamba ameweza kumwelewa mwanamke kikamilifu"
++
NDIYE KIUMBE ANAYESHINDANA MWENYEWE ASIWE KAMA ALIVYO
Ktk viumbe wote kama wanaume,simba,sungura,miti,twiga n.k Ni mwanamke ambaye kila uchao anapambana ndani na nje yake Wanaume wasimwelewe.Mf.akitaka kuishi peke yake bado anataka mume,akililia pesa utasikia anataka real love,Ukimpa real love utasikia pesa ndo kila kitu,Ukimpa penzi la kumridhisha bado hilo halitamfanya aache kusaliti uhusiano kwa madai ya kubadilisha radha.
Tazama michango ya mawazo yao humu jamvini,,utaona mtu yule yule anataka pesa real love sio lolote,,ukisema wanatamaa utaona haoo! Wanataka real love.
++
NDIYE KIUMBE ASIYEMPENDA MWANAMKE MWENZAKE.
Najua nitatofautiana na wengi ktk hili.Ila ukitaka kuthibitisha hili,ingia ktk siasa,ktk ndoa,ktk mafanikio.
Asilimia kubwa ya mahusiano ya wanawake kwa wanawake huisha haraka pale siri zinapowekwa hadharani.Hata kama mwanamke huyu atapendeza kwa mavazi,akawa na mume mwema,usafiri bora na uhakika wa lishe atakaemchukia wa kwanza ni mwanamke mwenzake na kama kuna urafiki ni wa kinafiki.Tofauti ilivyo ktk mahusiano ya wanaume kwa wanaume au viumbe wengine.
++
Bado najiuliza hayo maajab mengine yanasifa zipi kuzidi hili la mwanamke tunayeishi nae kila wakati Lakini ufumbuzi wa moja kwa moja hakuna?