Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
- Thread starter
- #61
Mi nadhani muanzisha uzi huu,hajawaza nje ya box. Hizo sifa alizoziweka hapo juu,angezihusianisha na mashoga a.k.a mapunga,ubwabwa,chakla,nichek 0713,nipeleke choon,yangu na 7,Nakalia 40, na mengineyo mengi zingehusika zaidi kuliko hata alivyowaweka wanawake.
Hao ndo walifaa kuingia kwenye hayo maajabu kuliko hata sisi.
++
Judy Nash
Bado hata hapa Unadhihirisha ile hali ya kutokuwa wewe.Maana unataka kuwa ktk kundi ambalo baada ya muda utarudi.
Sikatai mabadiliko ya kitabia yapo kwa wote,ila yapo ambayo ni static na yanawafanya muwe wa pekee
++
Last edited by a moderator: