Duh!Kukaa kimya huwa kunamtesa mwanamke kisaikolojia. Tena haswa kama umemfuma halafu ukakaa kimya. Yaan kama vile haupo, atachukua kila kitu na kukimbia hapo hapo maana mbali na aibu na kujutia atakuwa anashindwa kuwaza ni nn utaenda kufanya
Binafsi cjaona kosa LA mwanaume zaid ya kumpongeza kwa hatua alio ifanya kuwapa muda .Wanaume mda mwingine muwe mnatoa taarifa kama mnarejea kutoka safari haya mambo ya kustukizana mnawafanya watu wanakufa kwa mawazo.......! hapo hujui afanye nn, anawaza utampa adhabu gani
Kwa mujibu wa maelezo yake,ilikuwa asije leo, kuna jamaa alikuwa na private car,na wanafahamiana,ndo kamwambia naenda huko kwenu muda huu,si twende,jamaa akasema poa, kwa vile nitakuwa nimesave nauli twende,ndo kafika akakutana na hilo balaaWanaume mda mwingine muwe mnatoa taarifa kama mnarejea kutoka safari haya mambo ya kustukizana mnawafanya watu wanakufa kwa mawazo.......! hapo hujui afanye nn, anawaza utampa adhabu gani
Ukiona hivyo ujue ni story tu jamaa kaamua naye kutoka!Ila madirisha ya kufunga ukiwa kwa nje sijayaona siku nyingiii
Kwangu ni kwangu. Kwann nitoe taarifa? Nakuja muda ninaotaka , naondoka muda ninaotaka.Wanaume mda mwingine muwe mnatoa taarifa kama mnarejea kutoka safari haya mambo ya kustukizana mnawafanya watu wanakufa kwa mawazo.......! hapo hujui afanye nn, anawaza utampa adhabu gani
Mkipigwa mnakuwa sugu. Mnazoea tatizo ndio liko hapo.Hiyo mbaya sana unaweza jua atakuua bora mwanaume aongee au akupige kuliko kukaa kimya anakumaliza kisaikolojia
KUWASILISHA NINI????kuna kitu alikutuma sasa ndo unawasilsiha? je mlikuwa mnaandika wote uzi sasa ukachomoka kidogo na baadhi ya nondo sasa umekuta kishapost kwahiyo ndo umeziweka? AU ULITAKA TU UONEKANI UMECHANGIA...are u lonely?Mkuu, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi....
Naomba kuwasilisha.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]