Ni kweli mkuu sio stori,jamaa ndo anatoka kunieleza nikasema ,ni wachache sana wa kuvumilia bila fujo,angekuwa mtu mwenye roho ngumu sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine hapa mtaaniUkimya kwa mwanamke ndio adhabu tosha .
Ingawa nikm kastori ila amefanya jambo zuri.
Umewasilisha nafasi yako ya mbele?Mkuu, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi....
Naomba kuwasilisha.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ni tukio lililotokea muda huu hapa mtaani kwangu
Mwanaume alikuwa amesafiri,karudi usiku huu kwake bahati mbaya kabla ya kubisha hodi,akakuta dirisha la chumbani kwake lipo wazi
Akaenda pale dirishani ili alifunge ili mbu wasiingie ndani
Ghafla amekuta mechi inaendelea
Akawambia akiwa pale dirishani " malizeni basi mnipe nafasi nami nimekuja nipumzike"
Kilichofuata ni mwanaume kuvaa fasta,wala jamaa hakutaka afanye fujo,baada ya jamaa kuingia ndani kamkuta mke wake analia
Akamwambia wala usilie
Jamaa akaenda kuoga,kisha akarudi kulala
Mwanamke amekaa sebuleni,baadae ametoweka kusikojulikana
Ila wanaume mnatafutaga kifo wenyewe
Hivi inaingia akilini kwenda kulala kitanda cha mwanaume mwenzio,hamuogopi kufa?
Hakika yaani ingekuwa ndo Mimi,sasa hivi ningekuwa nimeenda polisi kuwambia nendeni mchukue mizoga pale kwangu
mkuu ni kama kastori flani kakutunga ili kutafutia kausingizi au sio,[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ukimya kwa mwanamke ndio adhabu tosha .
Ingawa nikm kastori ila amefanya jambo zuri.
noted mkuu ushimeMkuu, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi....
Naomba kuwasilisha.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Jamaa nampongeza kwa uamuzi wakeNi hatari sana