Cha kushangaza zaidi ni pale Jonathan aliposhindwa kuwaokoa wote hao. Iweje leo Muislam kaweza?
Ni wazi kabisa Jonathan alikuwa na mkono katika hilo akitumia jina Uislam kwa manufaa yake, lakini yamemgeukia leo huo huyo Muislam anaesemwa ni gaidi ndiyo muokoaji mkuu.
Hii inanikumbusha kisa cha west gate Nairobi, magaidi ni Wasomali Waislam, shujaa wa west gate ni Msomali Muislam.
Boko haram inasemekana ni Waislam wa Nigeria anaewaokoa mateka leo hii ni Muislam Mnaigeria.
Kuna siri ipi hapo?
Mnapanga mkipanguwa lakini hakuna mpangaji bora zaidi ya Allah.