Mwanamke aeleza mateso ya Boko Haram

Mwanamke aeleza mateso ya Boko Haram

Kombo, Mpokee YESU KRISTO awe Bwana na Mwokozi wako na utafunguka macho. Naona bado upo kwenye usingizi wa pono kwenye kiza kinene sana. Amka uje huku kwetu. Achana na chuki, matusi na uzushi wa kishetani. Njoo huku bado una nafasi nzuri tu.

Kombo huwa ana comment kwenye thread kama hizi tu. Debate zote za ukristo na uislamu anahangaika kama kawashwa -----. Comments zake zipo emotionally and not intellectually. Atamkataa Kristo Wakati Anamtumikia kila siku za maisha yake. Bila shaka kwenye kumbukumbu zake anauandika mwaka 2015 (Umri Wa Yesu siyo Muhamad) na Jumapili hafanyi kazi kuadhimisha ufufuko wa Yesu.
 
Tunasubiri waislam watoe tamko juu ya hali hii. Waislam wa jf, ni nini mawazo yenu katika hili?

hawawez kutoa tamko kwa kuwa boko haram sio sehemu ya uislamu hilo ni kundi la kihuni kama makund mengine nafikir ushazisikia tabia zao haihitaj kulipima lipo upande upi wapo kimaslah zaid hakuna dini inayokubali ubakaj na uuaji kila kitu kipo waz hapo.
 
Cha kushangaza zaidi ni pale Jonathan aliposhindwa kuwaokoa wote hao. Iweje leo Muislam kaweza?

Ni wazi kabisa Jonathan alikuwa na mkono katika hilo akitumia jina Uislam kwa manufaa yake, lakini yamemgeukia leo huo huyo Muislam anaesemwa ni gaidi ndiyo muokoaji mkuu.

Hii inanikumbusha kisa cha west gate Nairobi, magaidi ni Wasomali Waislam, shujaa wa west gate ni Msomali Muislam.

Boko haram inasemekana ni Waislam wa Nigeria anaewaokoa mateka leo hii ni Muislam Mnaigeria.

Kuna siri ipi hapo?

Mnapanga mkipanguwa lakini hakuna mpangaji bora zaidi ya Allah.
 
Kitu kinachotakiwa na wapenda amani wote ulimwenguni ni kupinga vitendo vya kikatili bila kuangalia kuwa aliyekitenda kitendo hicho ni mtu wa aina gani au kundi gani.....kuendelea kulumbana na kukashifiana kidini hakuzuii mauaji na ukatili unaoendelea kufanywa na makundi ya kigaidi...kila kiumbe kinastahili kuishi haijalishi awe wa imani gani...ifikie wakati tutambue kuwa unyama na ukatili havina kwao....na tunapaswa kuyakemea haya maangamizi bika unafiki wala kuegemea upande wowote...kile kikundi cha ANTI BARAKA kiliwaangamiza waislamu wengi afrika ya kati.....lakini wastaarabu walijua kuwa wanayoyatenda hayapo kwenye biblia na wakawakemea...vivyo hivyo kwa waislamu wastaarabu wanaokemea maovu ya vikundi vya kigaidi kwa kuwa wanajua kuwa wayatendayo yapo kinyume na UISLAM.....Lakini leo hii dunia inaonekana kushupalia sana maswala yanayohusu uislamu....huku wakiyafumbia macho mambo mengine..yanayofanyika na watu mbali mbali au mataifa dhidi ya mataifa ya kiislamu katika kisingizio cha kupinga au kupambana na ugaidi....huu ni unafiki wa hali ya juu ambao ulimwengu wa wapenda amani unapaswa kuachana nao....
 
Uislamu ni ugaidi jaman hata quran inaruhusu kuwaua na kuwachukia wayahud na wakristo.
 
Back
Top Bottom