Mkuu kwanza nikufahamishe kuwa uingereza alipewa Tanganyika kuishikilia hadi tutakapokuwa tayari kujitawala... So aliondoka kama tulivyotaka na wao wanatambua hilo haswa. So hakuna Mtanganyika mwenye wasiwasi na muingereza... Jaribu kuwa unatofautisha mambo kwenye mijadara maana inaleta wingi usiohitajika... Ila Zenji inajulikana ni Mali ya mtu aitwae Sultan na hata utajili unaozungumziwa na Wa huyo mtu ukiachia uliuchumaje japo ni wazi aliuchumia bara.. So tunapozungumzia Zanzibar tujikite huko am sure shule ulijifunza namna ya kutofautisha vitu visivyo endana.. Nikisema kijiko,kisu,una na kandambili am sure utaelewa nini kipo tofauti
Sure ndio huwa nawaambia sana... Kuna Mzungu aloshamtoa nishai mzenji kwa style hiyo...
Kana place of birth kwenye passport ni porojo napata wazi wasi na akili yako pengine unaukichaa au umeamua Ku try ignorance. Na kama unaona uasili Wa mzenji haupotei kwenye passport yake how about ya ile miarabu na mihindi unataka kwenye passport waandike asili zao za Oman,Yemen,Iran,India and Pakistan?Hizo zote ni porojo za hapa na pale ukweli unabaki kuwa Zanzibar ni nchi na hilo la kuwa na passport moja ni maelewano ya muungano tu.
Wazanzibari leo hii wana vitambulisho vyao rasmi vya uraia wao, Uzanzibari. Wewe si Mtanzania? Jaribu kwenda Zanzibar uwaambie wakupe kitambulisho uone watakupa kipi. Usishangae wakikwambia hapa hatutoi vitambulisho vya machogo.
Na hivi karibuni washaamua kuwa mafuta na gas ya Zanzibar ni mali ya Wazanzibari pekee, si hasha soon, pia wakaamua kuwa na hati zao za kusafiria ziwe za Kizanzibari.
Tulifuata mfumo Wa lugha ya kijinga ya kiswahili. Maana ya lugha ni kuelewana so kama umeelewa am right for what I wrote. And wewe acha kupandisha dela lako juu. Nilishakukamata na vichapizi vyako kadhaa humu. Sijui nawe huo ujinga ndio mkuu wake= mijadala
= utajiri
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Baki na ujinga wako utawasaidia ukoo wenu muwe wajinga zaidi milele na utakuwa unaendeleza ukoo wenu Wa chief mangunga so Wala sikushangaiNdivyo ulivyosomeshwa kanisani ??
Sio porojo, kuna mambo ya muungano na mambo ambayo sio ya muungano, mipaka yote ya nchi ni jambo la muungano, hivyo kila kilichomo ndani ya mipaka ya JMT ni cha JMT, hadi visiwa vyote ndani ya mipaka yetu ni mali yetu kikiwemo kisiwa cha Unguja na Pemba, ndio maana tunafanya chochote kuhusu mali zetu, ile kwenye matumizi ya ardhi sio ya muungano, hivyo Zanzibar iko huru kutumia ardhi yake kwa namna ile jinsi inafaa kwa manufaa yake, ikiwemo kuchimba mafuta.Kwa hivyo hayo yaliyotamkwa Na wanasheria kuhusu Latham island ni porojo tu mafuta yanaweza kuchimbwa wakati wowote Na Tanganyika??
ISIS watafanya makao yao makuu pale halafu watuletee shida huku bara. Isitoshe kutokana na global warming baada ya miaka 100 kakisiwa kote katakuwa kamezama. Watakimbilia wapi hawa wanaodai "uhuru"?Hivi visiwa huwezi kuviacha vitaleta shida
Sio porojo, kuna mambo ya muungano na mambo ambayo sio ya muungano, mipaka yote ya nchi ni jambo la muungano, hivyo kila kilichomo ndani ya mipaka ya JMT ni cha JMT, hadi visiwa vyote ndani ya mipaka yetu ni mali yetu kikiwemo kisiwa cha Unguja na Pemba, ndio maana tunafanya chochote kuhusu mali zetu, ile kwenye matumizi ya ardhi sio ya muungano, hivyo Zanzibar iko huru kutumia ardhi yake kwa namna ile jinsi inafaa kwa manufaa yake, ikiwemo kuchimba mafuta.
Paskali
ISIS watafanya makao yao makuu pale halafu watuletee shida huku bara. Isitoshe kutokana na global warming baada ya miaka 100 kakisiwa kote katakuwa kamezama. Watakimbilia wapi hawa wanaodai "uhuru"?
Baki na ujinga wako utawasaidia ukoo wenu muwe wajinga zaidi milele na utakuwa unaendeleza ukoo wenu Wa chief mangunga so Wala sikushangai
ISIS watafanya makao yao makuu pale halafu watuletee shida huku bara. Isitoshe kutokana na global warming baada ya miaka 100 kakisiwa kote katakuwa kamezama. Watakimbilia wapi hawa wanaodai "uhuru"?
Ndio zanzibar inatambulika kimataifa, baadhi ya nchi ambazo zinatoa kwa mfano scholarship, lazima utoe idification ya u zanzibar ndio upate scholarship.Kwa ni mipaka ya Zanzibar haitambuliki kimataifa?
AhsanteHizo zote ni porojo za hapa na pale ukweli unabaki kuwa Zanzibar ni nchi na hilo la kuwa na passport moja ni maelewano ya muungano tu.
Wazanzibari leo hii wana vitambulisho vyao rasmi vya uraia wao, Uzanzibari. Wewe si Mtanzania? Jaribu kwenda Zanzibar uwaambie wakupe kitambulisho uone watakupa kipi. Usishangae wakikwambia hapa hatutoi vitambulisho vya machogo.
Na hivi karibuni washaamua kuwa mafuta na gas ya Zanzibar ni mali ya Wazanzibari pekee, si hasha soon, pia wakaamua kuwa na hati zao za kusafiria za Kizanzibari.
Usiseme baada ya nchi sema arabuni tu utaeleweka maana wanaamini Zanzibar ni ya waislam.Ndio zanzibar inatambulika kimataifa, baadhi ya nchi ambazo zinatoa kwa mfano scholarship, lazima utoe idification ya u zanzibar ndio upate scholarship.
Hata unapo omba visa baadhi ya mataifa wanataka card ya u zanzibar kuonesha proved kuwa ni mzanzibari na unapoishi na zanzibar.
Hakuna utapeli wowote, muungano ni kama ndoa, nchi ni kama nyumba, mali zote za wanandoa ni mali zenu wewe na mkeo, na nyumba ni nyumba yenu, na chumba ni chumba chenu, lakini huko nyumbani na chumbani, kuna tofauti za utawala, mke ndie mtawala wa jikoni, na chumbani kwako, na kuna vitu vyakwako na vya kwake, mfano kijaluba ni cha mkeo, anaweka vitu vyake, fedha za kwenye kibubu ni za mkeo, anazihifadhi kwa matumizi yake ya vitu vidogo vidogo vya kike.mipaka yote ya nchi ni jambo la muungano, hivyo kila kilichomo ndani ya mipaka ya JMT ni cha JMT
ile kwenye matumizi ya ardhi sio ya muungano, hivyo Zanzibar iko huru kutumia ardhi yake kwa namna ile jinsi inafaa kwa manufaa yake, ikiwemo kuchimba mafuta.
Hapa kuna kizungu mkuti , unaweza kutuelimisha na kutuwekea wazi huu utapeli???
Mkoloni Tanganyika!Hivi wazanzibar wanamdai nani uhuru?
Hakuna utapeli wowote, muungano ni kama ndoa, nchi ni kama nyumba, mali zote za wanandoa ni mali zenu wewe na mkeo, na nyumba ni nyumba yenu, na chumba ni chumba chenu, lakini huko nyumbani na chumbani, kuna tofauti za utawala, mke ndie mtawala wa jikoni, na chumbani kwako, na kuna vitu vyakwako na vya kwake, mfano kijaluba ni cha mkeo, anaweka vitu vyake, fedha za kwenye kibubu ni za mkeo, anazihifadhi kwa matumizi yake ya vitu vidogo vidogo vya kike.
Vivyo hivyo Tanzania ni nchi moja ya JMT, Zanzibar ni sehemu ya JMT yenye utawala wake kama ilivyo mke kwa jikoni, ardhi yote ya Tanzania ni mali ya JMT, kama ilivyo nyumba kwenye ndoa, ila matumizi ya ardhi ya Zanzibar ni mambo ya ndani, kama ilivyo utawala wa jikoni.
Paskali
Umechoka malalamiko yasioisha pengine wewe ni mmoja wa watawala. Anaenyukuliwa nakupata maumivu ya mnyukuo kamwe haachi kupiga kelele.Umesoma wapi historia ya Zanzibar kuchinjana wenyewe kwa wenyewe. Au unamaana ya watanganyika kuwachinja wapenda amani nawenyeji wa Zanzibar? Mauaji ninayokumbuka yaliofanywa Zanzibar ni yale ya wakuja dhidi ya wenyeji ni 1961 (vita vya Juni)wakati wa uchaguzi na ASP ikielekea kushindwa vibaya. Mauaji mengine ni 1964 yaliofanywa na genge la wakatoliki na mamluki kutoka bara liliongozwa na John Okello,Mganda, baada tena ASP kushindwa kwenye Uchaguzi.na walioshinda ZPPP/ZNP kupewa uhuru na mkoloni wa kiingereza 1963.Honestly speaking nimechoka malalamiko yasiyoisha. Hivi ni kitu gani Wazanzbar wanataka kama siyo kuchinjana wao kwa wao, kubaguana kwa misingi ya asili na dini na hatimaye kutesa wanawake na watoto wasiokuwa na hatia?
Ninaona chokochoko hizi ni tamaa za watu wachache ambao hata ukiwauliza kile wnachokitafuta hawakujui zaidi ya visasi na matamanio yasiyohalisi.
Mliambiwa marekebisho ya katiba mkavurunda. Serikali tatu ilikuwa ni njia sahihi na yenye amani iliyo na madhara kidogo kuliko serikali ya kibaguzi wanayoitafuta. Bila serikali ya Muungano hakuna Zanzibar huru kwa wote. Hili mkae mkilijua.
Kwa heri.
Achana na walafi wa madaraka hao.....asilimia sabini ya watanzania wanaoishi wamezaliwa ndani ya Tanzania....hawajui kitu kinaitwa Tanganyika ni upuuzi mkubwa kutaka kugawa nchi .....kutokana na fikra duni za hivi vizee vichache..ambavyo majira yanasoma saa 12 jioniPower mongers! Simply walafi wa madaraka wenye madai kama haya!