Mwanamahesabu na Changudoa.

Mwanamahesabu na Changudoa.

Sio mimi!!!! Mi naitwa MAHESABU huyo ni MWANAMEHESABU
 
ha ha ha , mwanamahesabu noma gori tano(5) anazipigaje? yan hapo ni bandika bandua
 
Sio mimi!!!! Mi naitwa MAHESABU huyo ni MWANAMEHESABU

Ushacheza hako ka mchezo ukahofia jamaa alikufuma akaja kuanika hapa nini? Kafanya kubadilisha jina kidogo uli tukugundue
 
ha ha ha , mwanamahesabu noma gori tano(5) anazipigaje? yan hapo ni bandika bandua

Isitoshe alikuwa amepiga bapa moja kubwa ya konyagi, sijui hapo dada wa watu akitoka ni lazima astaafu kazi
 
Hapo dada ndo atamini kuna wanaume wa shoka
 
Back
Top Bottom