Hapo in red nimepigilia mstari sababu nadhani amekua akichangia kujenga taifa kwa kutumia ujuzi wake tayari. Hiyo njia anayo tumia ndio mchango wenyewe. wewe ulitaka achangie kwa kutumia njia unayo itaka wewe?WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?

Hivi ukiunganisha hizo post zote alizo "like" huwezi kupata message aliotaka kutoa?Haya we, mi mwenyewe nilipoona ameanza ku-like nilijua atajitambulisha, then ka-like afu kasepa, so hutomjua, we kakojoe ulale.
Haya we, mi mwenyewe nilipoona ameanza ku-like nilijua atajitambulisha, then ka-like afu kasepa, so hutomjua, we kakojoe ulale.
Labda utusaidie what is not very right here? kwa sababu hata mimi niko Interested na Men & Woman.[TABLE="class: cms_table_uiInfoTable cms_table_profileInfoTable"]
[TR]
[TH="class: cms_table_label"]Sex[/TH]
[TD="class: cms_table_data"]Male[/TD]
[/TR]
[TR="class: cms_table_spacer"]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="class: cms_table_label"]Interested In[/TH]
[TD="class: cms_table_data"]Men and Women[/TD]
[/TR]
[TR="class: cms_table_spacer"]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
I knew it! something was not very right.
Ingekuwa mabinti wa watu wanaolewa kiholela namna hii basi hata mimi ningefanya booking ya kumuoa Mwanaasha Kikwete.Vp Mwanakijiji? Nadhani atakuwa anaishi Marekani....Mwanakijiji pindi upatapo ujumbe wangu NAHITAJI KUOA MTOTO WAKO awe mke wangu. Yule wa kike mkubwa.