Hivi kwa mfano tuchukulie kwamba moja ya vigezo na masharti ya kujiunga jf ni kulipia sh.1000 kwa kila post utakayotuma jf tangu siku ya kwanza ulipokuwa member, na sh. 500 kwa kila hoja(comment) unayochangia, na tuchukulie kwamba kigezo au sharti hili liliwekwa mwishoni kabisa na kwa maandishi madogo sana kiasi cha wengi kulipuuza na kukimbilia kujisajiri harakaharaka, je? unadhani mwanajf yupi atalipa "mahela mengi" zaidi na yupi atafilisiwa Mali zake zote na adhabu juu kwa kushindwa kulipa deni atakalokuwa anadaiwa?

= kujisajili
Haitatokea watu kulipa wanachochangia.
Madhara ya kulala njaa haya usiku unakuwa mrefu na ndoto za mang'amung'amu na hatimaye ukistuka unakuja na post kama hii