sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Habari za weekend!
Kama kichwa kinavyo jieleza, kulingana na hali tuliyo nayo...katika siasa vyama mbalimbali vimeshateua majina ya wabunge kuwa viti maalum,
Kutokana na kufahamiana kupitia michango mbali mbali humu kwenye jukwaa, hakika kuna members ambao kwa namna moja ama nyingine kama tungekuwa na uwezo tungempendekeza moja kwa moja kwenda bungeni.
Kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja, kusimamia ukweli nyuma ya hizi id fake, uwezo wake wa kutoa fikra pana na creative katika kuwashauri vijana na watu wengine ambao huleta matatizo mbalimbali yanayotusibu au pia yanayo wasibu ndugu na jamaa zetu.
Pamoja na yote,ikiwemo swala la kushuka ubora wa jukwaa kutokana na kukosekana kwa either stori na hoja pana zaidi au kuwa na wachangiaji wengi zaidi pasipo ila kuwepo na utani mwingi, kejeli, hata dhihaka juu ya waleta mada. (sijakataa utani, maana ni sehemu ya furaha)
Ila pasipo kujali hayo yote kumekuwepo na members ambao kila wanapochangia hakika michango yao huwa chanya na yenye mafunzo mengi yenye kuwasaidia vijana ambao wengi wetu tunaona kama kimbilio pekee la kutafuta ushauri na kutoa yetu ya moyoni.
Kama ilivyo viti maalum ni kwa ajili ya wanawake, ila pia kuna vile viti 10 ambavyo havichagui jinsia kwa hiyo unaweza kupendekeza member wa jinsia yoyote ile.
Kwangu mimi binafsi naweza kuwapendekeza wafuatao ila katika magroup mawili...
Kwa upande wa wakongwe hapa MMU wapo wengi ila jina la kwanza lingekuwa la ASHA d japo amekuwa adimu mybe kutokana na majukumu, ila naweza kusema kupitia busara zake na michango yenye hekima basi anastahili nafasi hii
Ukija kwa upcoming members( sio wakwongwe ila wamechipukia kwa kasi saana humu MMU) basi bila shaka huwezi kukosa kuwataja watu kama Apologise lady Heaven Sent BADILI TABIA na wengine wengi....
Pamoja uwepo wa likes, na repo ila hii ni njia pia tunaweza ku acknowledge na kutambua michango yao katika kujenga jukwaa na pia kulijenga taifa kupitia ushauri wao.
Wanajukwaa je ni member yupi mnaona angefaa kwenda bungeni kutokana na michango yake chanya?
Mzee wa hisa, sumbai
Karibuni