Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
- Thread starter
- #141
Wanabodi, kufuatia hii rangi ya Chaniliwiti kupendezea, leo sare hii ya rangi ya Chanikiwiti,
Ndio sare rasmi ya maadhimisho ya uhuru
P
Ndio sare rasmi ya maadhimisho ya uhuru
Vazi la taifa: Japo wamependezea, for the sake of patriotism & national unity, je ni busara sare za kitaifa kunasibishwa na sare za chama fulani?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Topic ya leo ni swali, kuhusu ule mchakato wa Tanzania kuwa na vazi rasmi la taifa, umeishia wapi? Maana kama sare ya chama fulani sasa ndio inataka kugeuka kuwa vazi rasmi la taifa...
www.jamiiforums.com
P