calabocatz
Senior Member
- Jan 1, 2017
- 110
- 88
Huyu jamaa najaribu kumsoma simuelewi kabisa..sielew anakubali chama gani,dini yake siielew. Maana kila anavhokiandika kaegemei upende fulani yani ukisoma maandiko yake na coments unaweza amini uko Lumumba ..siku nyingine Ufipa..hebu cacacuona Jipambanue ...uko wapi? Unakera sana.