Mwanajeshi Mwenye Taaluma Ya Computer

Mwanajeshi Mwenye Taaluma Ya Computer

Sisi raia wa nchi hii huwa tunafikiri jeshini ni sehemu yenye watu wa elimu ya kati kwa taarifa yako utakwenda huko kushangaa kwa watalamu walioko huko kwa kujiona kuwa wewe bado hujasoma hiyo taaluma yako
 
Uko sawa kabisa.. Wakati naingia kundini nilijua level ya elimu na fani yangu Ni vya juu sana, nikashangaa kukuta watu wana masters zao za medicine.
 
Back
Top Bottom