wacha mambo ya kizamani, unafikiri polisi wao hawakwenda depo
askari wa usalama barabarani eneo la makumbusho, dar wakimpiga dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.
![]()
Kweli mdau, iwe mjeda kweli au ni mjeda fake lakini kiukweli huwa sipendi huu utaratibu wa askari kuwa na mikono miepesi ya kupiga wakati kwenye vitabu tunaambiwa wao kazi yao ni kusimamia usalama wa raia na mali zao, yaani wakishajua umekosa hata kama hujaleta maneno yoyote lakini lazima wakati wanakukamata wakusukume sukume tu ili mradi wakuathiri kisaikolojia. Huyo alikuwa ana gari kilichotakiwa ni kumkamata na kama analeta za kuleta ndio nguvu itumike akilegea mnambeba, lakini askari wetu akiwa anagawa kipondo utasema hilo kosa amekosewa yeye tena kakunja na uso utasema ametukanwa wakati iliyovunjwa ni sheria ya nchi ambapo yeye askari kazi yake kuhakikisha watu wanaifuata na kama haifuatwi anapelekwa post kwa hatua zaidi. Hii inadhihirisha ile signature ya Nyani Ngabu ya MIAFRIKA NDIVYO TULIVYOMh kisheria sijui kama inaruhusiwa kumpiga raia sema kwa vile watz hatujui sheria kama ni akitafuta wanasheria wanaweza msaidia hakuna aliye juu ya sheria lakini kwa tz hilo linawezekana .
Wapigweee maana wamezidi maana mara wapigeeraia mara trafik mara baar mkipata upenyo gonga kabisa hawa mbulula hakuna aliye juu ya sheritru aiseee apigwe kiboya boya na nahisi ata kipigo hcho amekipata baada ya kudanganya kuwa yeye mwanajeshi
ww sasa unataka kutujazia Sever ya JF bure au ni ujiko wa kujiongezea idadi ya postUmeandika nini sasa?
Akili za kuambiwa changanya na za kwako, nani kakudanganya kuwa FFU wana vituo?Ila Nasikia Hao Hao FFU wamekimbia kituo huko Monduli baada ya kulikoroga kwa wajeda, kifupi tu ni Kuwa JWTZ ni Habari nyingine