Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

Hahahaahahah. Mwanajeshi akiwa mmoja hawezi kusimama uso kwa uso na teja mla unga, wengi si strong kiviile ! Na ukikuta mjeshi yuko strong huwa hawi mgomvi.
 
Wajiandae kuhama hapo Makumbusho maana siku si nyingi wataona the real definition ya JWTZ

JWTZ hawana uwezo Wa kusimama na trafiki. Maana nyuma ya trafiki kuna FFU, hao ndiyo kiboko ya JWTZ.
 
tii sheria usi shurutishwe awe na au nan kama utii sheria utashurutishwa 2
 
JWTZ hawana uwezo Wa kusimama na trafiki. Maana nyuma ya trafiki kuna FFU, hao ndiyo kiboko ya JWTZ.

Wale FFU wenye kofia nyekundu wote wamefuzu JUDO na Karate....JWTZ wa kawaida hawezi kutia mguu...wale ndio husimamia hata ulinzi wa Rais, Ikulu na sehemu zote nyeti....tena siku hizi wanachukua waliofuzu JKT kwanza......
 
wewe jidanganye tu! JKT kuna kufuzu kitu gani kulima nyanya au kulima mpunga pale Ruvu.
Mafunzo ya Jkt 85% ni uzalishaji mali na 15 ndo uaskari. Ndo maana ukitoka jkt kwenda Jw lazima wakunyooshe kijeshi zaidi ya miezi 4 au 6.
 
Hata Polisi ukitoka JKT unaanza mafunzo upya kama fresh wengine......JWTZ inatambulika wana mafunzo mazito kuliko Polisi lakini unapozungumzia FFU wanaotengenezwa siku hizi ni very well trained.....alafu JWTZ si kila askari anajifunza JUDO na Karate wakati FFU ni lazima.....hivyo kama si mtu martial art huwezi kumpiga kirahisi askari wa FFU.
 
Ndugu mtoa mada, tafadhari kabla ya kurusha issue fuatilia kwanza kiundani mkuu,

Issue ni hivi huyuu jamaa kasimamishwa akasimama vizuri ila akawa anaulizwa maswali ya usalama barabarani kama vile leseni, na mengine akajifanya anapotezewa muda yy ni mwanajeshi na police wakaomba kwanza kitambulisho hakuwa nacho, wakamuuliza mambo ya jeshi mf, kikosi gani hajui anatatanika..

Zaidi sana kumbe mdogo,mtt kama si lafiki wa mwanajeshi.ndipo akatumia nafasi hiyo kukiuka sheria ya nchi.

Ila kiukweli hakuna watu wanaheshimiana kama wanajeshi na Police maana mama na Baba yao mmoja..

Mleta mada omba msamaha jamii kwa uchonganishi, yule alikuwa Raia anayetumia jina la jeshi kukiuka sheria..

Mkuu unauhakika na unachokisema?
 
Asante kwa kumaliza utata mkuu.
 
Kama ni mwanajeshi kweli basi kesho hao Polisi hawatasimama hapo!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
kama nchi za wenzetu huko jamaa ameshakuwa tajiri tayari
 
nadhani jamii imechoshwa na utovu wa nidhamu wa baadhi ya hawa vijana wetu wanaotumia vibaya jina la jeshi letu - JWTZ.
Tuseme BAAAAS, IMETOSHA!
 
Wanampiga kwa sababu gani? Kama kavunja sheria za barabarani si kuna utaratibu wa kufuatwa kumuadhibu mtuhumiwa?
 
Ndugu mtoa mada, tafadhari kabla ya kurusha issue fuatilia kwanza kiundani mkuu,

Issue ni hivi huyuu jamaa kasimamishwa akasimama vizuri ila akawa anaulizwa maswali ya usalama barabarani kama vile leseni, na mengine akajifanya anapotezewa muda yy ni mwanajeshi na police wakaomba kwanza kitambulisho hakuwa nacho, wakamuuliza mambo ya jeshi mf, kikosi gani hajui anatatanika..

Zaidi sana kumbe mdogo,mtt kama si lafiki wa mwanajeshi.ndipo akatumia nafasi hiyo kukiuka sheria ya nchi.

Ila kiukweli hakuna watu wanaheshimiana kama wanajeshi na Police maana mama na Baba yao mmoja..

Mleta mada omba msamaha jamii kwa uchonganishi, yule alikuwa Raia anayetumia jina la jeshi kukiuka sheria..

we utakuwa mjeshi ndo maana unatetea kama ni watoto wa baba na mama mmoja unakumbuka yule traffic wa ubungo aliyepigwa na wanajeshi
 
safi sana mbona sikuwa hapo nishabikie wanajifanya wababe sana
kakudanganya nani,tukio nimelishuhudia vizuri sana,jamaa alikua anatokea parking za millennium tower kuingia new bagamoyo road ndipo walipozinguana na trafick,amepambana na trafick vilivyo hata wakashindwa kumvalisha pingu,ndani ya gari ya jamaa kulikua na kina mama ambao ndo walimtambulisha jamaa kama ni mwanajeshi,hata hivyo hao kina mama hawakushuka kwenye gari.
Ikabidi trafick waombe msaada kwa wenzao waliokua junction za jirani.
 
Hahahaahahah. Mwanajeshi akiwa mmoja hawezi kusimama uso kwa uso na teja mla unga, wengi si strong kiviile ! Na ukikuta mjeshi yuko strong huwa hawi mgomvi.

Yeah kaka hawa jamaa wanategemea kundi na ukimuona alie strong,ujue sio mgomvi na huwa mpole na hataka kujihusisha na chochte ila hawa wengne mkiwa alone hana lolote na ubaya wao akienda kuwaambia wenzake uwa anasema wametutukana kua sisi wanajeshi hatuna hivi ndio mana uwa wanakujaga na hasira balaa
 
Back
Top Bottom