Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
!
!
wamuarest..arooo anareta za kureta
!
wamuarest..arooo anareta za kureta
Kwa mtu mwenye akili lzma ujiulize kabla hujachangia, huyo kajitambulisha kuwa ye mwanajeshi nani kadhibitisha kama ni askari kweli? na pia askari wanaheshimiana tofauti na habari zenu hizi na magazeti,
Mwanajeshi gani awe ---- hivyo? Yaani atolewe ktk gari apigwe katulia tu?
Huyo si mwanajeshi
JWTZ hawana uwezo Wa kusimama na trafiki. Maana nyuma ya trafiki kuna FFU, hao ndiyo kiboko ya JWTZ.
Wajua nilikuwa bado nashangaa, mwanajeshi apigwe na hao raia wakakamavu?!!hamna ishu hapo huyo jamaa alikuwa anawatisha tu hao polisi. wala sio mwanajeshi huyo.
JUST MIKWALA TU.
wapigwe tu
Hata mimi nimefurahi wacha wamkomeshe c wanajifanya wapo juu ya sheria hao
Huku sasa ni kudharirishwa kwa JWTZ. Juzi kati tumesikia vijana wa JKT wametiwa adabu na FFU huko Arachuga leo tena timbwiri na mkong'oto mwingine!
anachosema JoJiPoJi ni sahihi kabisa kwani wengi wa vijana wa kileo hawaijui TPDF (JWTZ) wanaifananisha na Field Force Unit (kitengo cha POLISI cha kuzuia fujo au wizi wa mifugo na mapigano ya raia kwa kutumia virungu
Mh kisheria sijui kama inaruhusiwa kumpiga raia sema kwa vile watz hatujui sheria kama ni akitafuta wanasheria wanaweza msaidia hakuna aliye juu ya sheria lakini kwa tz hilo linawezekana .
anachosema JoJiPoJi ni sahihi kabisa kwani wengi wa vijana wa kileo hawaijui TPDF (JWTZ) wanaifananisha na Field Force Unit (kitengo cha POLISI cha kuzuia fujo au wizi wa mifugo na mapigano ya raia kwa kutumia virungu
Baba wa majeshi yote ni JWTZ na ndio mwisho wa vyeo vyote na Mkuu wa majeshi akitokea hapo
TUKIRUDI KWENYE MADA
Hao Traffic wa kiume na huyo Mama wanamzuia Raia wa kawaida ambaye hata Uniform hana, ni kwa vile tu kaitangaza ni Mwanajeshi ambapo Mlevi yeyote anaweza sema hivyo
Nini hasa chanzo cha kumpiga? Kama kweli ni mwanajeshi basi kazi ipo kwa hao polisi na wataiona dunia chungu sana lakini kama hakuwa mwanajeshi basi kipondo atapata kikali zaidi ya hapo .
Tatizo hamjui tofauti ya kupigwa na kutuliza,Mh kisheria sijui kama inaruhusiwa kumpiga raia sema kwa vile watz hatujui sheria kama ni akitafuta wanasheria wanaweza msaidia hakuna aliye juu ya sheria lakini kwa tz hilo linawezekana .