Mwanajeshi amkata vipande vipande mkewe

Mwanajeshi amkata vipande vipande mkewe

Shuhuda amesema jamaa alikubari kumpatia nyumba, pia anakatwa kazini 200000/= kwa mwezi na bado bibie alikuwa anachukua kodi ya nyumba, lakini shuhuda akaenda mbali kwa kusema maneno yasiofaa mtaani mfano "nitamkomesha nk" ukiangalia kilichotokea na saikolojia na jamaa inaonyesha moja kwa moja jamaa kakosewa ndio maana alivyoua alikuwa na ujasiri wa kusema nimeua na polisi alienda mpaka kwa balozi alifika na kurudi mwenyewe tena polisi, sio hasira ila alidhamiria baada ya kukerwa..
Hawa wanawake wanakera sana
 
MAELEZO YANASEMA JAMAA ALIOA MKEWA PILI MAHAKA NA IKAMWAMBIA AMPATIE MAMA NYUMBA NA KESI INGEISHA 27 MWEZI HUU...... NA SI VINGINEVYO

Kuoa mke wa pili sio issue, ila ni makubaliano baina ya mke na mme, kama mke haridhiki basi ni bora akaamua kukaa pembeni, suala la kugawana mali wakati jamaa hela limeipatia darful sudan likikwepa risasi kila mara halafu mama anakata nyanya tu nyumbani na usikute jamaa akiwa kwenye mission bado mama anasumbua matumizi halafu mwisho wa siku mtu anaambiwa mgawane mali, kiukweli inauma sana.. nina historia nyingi sana ambazo zimewapa watu mateso kwa ujinga huu wa mama zetu,
 
sijaelewa hivi hii habari inasema huyu jamaa alipojisalimisha aliwekwa lockup maana naona alijisalimisha halafu akarudi nyumbani kisha akatoka tena saa kumi na mbili asubuhi there is something fishy here
Soma habari mpaka uimalize utakutana na maelezo!
 
Wanajeshi wasaidiwe kisaikolojia,wanafanya kazi kubwa ya kulinda amani,wanapokua huko kwenye mission mbalimbali huwa wanafanya zaido ya hayo!Hivyo wakiwa uraiani yakiwakuta magumu huwa utekelezaji ndo kama yaliyomkuta huyo mfunga buti.
Umeongea kweli lakini umemaliza vibaya kutuita wafunga buti😡
 
Kuoa mke wa pili sio issue, ila ni makubaliano baina ya mke na mme, kama mke haridhiki basi ni bora akaamua kukaa pembeni, suala la kugawana mali wakati jamaa hela limeipatia darful sudan likikwepa risasi kila mara halafu mama anakata nyanya tu nyumbani na usikute jamaa akiwa kwenye mission bado mama anasumbua matumizi halafu mwisho wa siku mtu anaambiwa mgawane mali, kiukweli inauma sana.. nina historia nyingi sana ambazo zimewapa watu mateso kwa ujinga huu wa mama zetu,
WANGEKUBALIANA ASINGEDAI BHANA
 
Hao polisi ni wazembe sana wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali kwa kumwachia mtuhumiwa kizembe
 
Labda poljsi nao waliogopa kuchezea mapanga, maana mkurya akibadilika ni zaidi ya simba.
hawajapigwa hao,mbona walipelekewa FFU toka pemba baada ya kuchoma kituo cha polisi,walikula kichapo wakawa wanalia kama wanawake wa magomeni tu
 
....Can't live with them; can't live without them....
kama huamini katika mungu(dini) wanawake wa leo si wa kuishi nao,nunua,maliza haja zako,ondoka,ukihtaj watoto waghilibu uzae nao,tunza mtoto
 
Hii habari kwa vile inamhusu mkurya itasambazwa sana kwa lengo la kutuchafua bila kuangalia upande wa pili marehemu na kidomodomo chake.
ulitaka tujue kua nawe mkurya haya tushajua unataka umaarufu kwenye thread a watu
 
Back
Top Bottom